MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

Hebu tamka kimoyo-moyo neno "MNATUHARIBIA" mara 5, kisha uwe unafanya hivyo kila mara unapoandika hapa JF.

 
Wewe umetumwa na CCM kuja kuwachafua viongozi wa CDM. Hivi wewe unaona raha sana kama hichi chama kitapoteza mwelekeo na hatimaye kufa kabisa kama vilivyokufa vyama vingine? Tutakuwa hatujengi nchi na wala hatuwatendei haki wananchi wengine, watoto wetu na vizazi vinavyokuja. Kujenga chama cha sasa si kazi ndogo, Ila kukibomoa ni rahisi sana. CCM wamejisahau sana. Wamefanya maovu mengi, na wanaendelea kufanya. Ni lazima waadhibiwe kwa faida ya nchi na wananchi wake.
 

Sijaona point hapa,maelezo ni meeengiii ujumbe ni 0,bora ukaimbe taarabu tu.
 
Ni kweli hakuna mwanachadema kama huyu jamaa wanachadema karibia wote kwanza hawana historia ya kuhoji jambo lolote lililofanywa na Mbowe au Slaa haijalishi jambo hilo ni jema au la hovyo
Ni sawa ndio maana wana vimada na huku wanajidai kutetea uadilifu!
 
Achaneni na CHAMA KUBWA semeni escrow account mabilioni yameenda wapi tena yakibebwa ndani ya viroba(rejea maneno ya Ole Sendeka aka best student 1987.
 
Mayanga.
Kama unakerwa na chadema hama nenda sisiem ingawa tunakujua kuwa we ni mwanachama Hali wa magamba hi yo tapatapa ukichoka tuachie nafasi tuendelee kuwa ma Mbowe
 
Kawaambie waliokutuma kuwa wenyeji hawapo. Warudishie na barua yao uliyoiandika humu.
 
mie smemi,mwingulu amesema jana bungen atatoa adabu 2015.jimbo la lissu kijiji kimoja tu kinaumeme,anachofanya kudili na zitto na shughuli chama nakusahau waliomtuma,2015 adabu lazma iwepo.
 

Mbona hamjamkabidhi mhe spika ushahidi?
 
Achaneni na CHAMA KUBWA semeni escrow account mabilioni yameenda wapi tena yakibebwa ndani ya viroba(rejea maneno ya Ole Sendeka aka best student 1987.

wewe eleza kwa ufasaha kwanza mabilioni hayo toka escrow account ni ya nani? kwa nini uyavalie njuga wewe una hisa IPTL?
 
kwanza nachukua nafasi hii kukupa pole sana , CDM HAINA CHA MSWALIE MTUME NA WEZI WA MALI YA UMMA , HATA WEWE TUKIJIRIDHISHA KWAMBA UNATUMIKA AU UNAMTUMIKIA SHETANI TUTAKULIPUA MCHANA KWEUPE PEE ! HATUTAKI UNAFIKI .
 
Ndio majibu mnayofundishwa na Mbowe hayo.

Siku si nyingi ukweli utadhihiri kuwa Mbowe ndio tatizo Cdm. Wenye macho wameliona hilo na tayari wamechukua hatua. Wale wenye upofu wa kuona kaeni na upofu wenu,si lazima utafuniwe kila kitu ebo!
 
Mi nachojiuliza ni kwamba inamaana Mbowe na Slaa tangu waanze siasa hawajawahi kukosea? mbona wamekua ni watu wa kutetewa tu hapa jf, ndo kusema CHADEMA na CCM wote ni wanafiki? Inakatisha tamaa, nshaona vyama vyote viko kimaslahi tu, hakuna jipya! Mnapo muona LEMA akihutubia jukwaani na kutokwa povu mdomoni; anasaka dola aweze kula vzr. Halikadharika NCHEMBA na NAPE NNAUYE wanatumia nguvu nyingi ili kulinda ulaji kwa wanahis tonge litapokonywa. Vijana tuwe makini tusiwe bendera, kunawatu wameahidiwa ukuu wa wilaya, mkoa, ukurugenz na vyeo vingine vingi baada ya kushika dola ndo maana hawakosoi viongoz wao hata pale wanapokosea, wako tayar kuua mtu na kutoa matusi kutetea chama ili wajihakikishie ulaji baadae. Wenye uchungu na nchi siku hiz hawapo; na viongoz wa vyama ving vya siasa hapa nchini wakikuona unadhamira ya dhati kutetea watanzania lazima tu wataku-fire out. Ukweli ndio huo enyi wananchi tokeni usingizini. Usitegemee hawa wanasiasa wa sasa watakuletea maendeleo, wapo kwaali ya kuwanyonya wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…