commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
sio mwanachama kwa hoja ipi? Au nawe ndio wale washabiki mnashabikia na kutuhumu mwenzenu bila ya hata kufikiria? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Mnatuharibia chama.
Mkuu, hebu shughulika na mama yenu kwanza. Akipona uje hapa kupiga domo.Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.
Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.
Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?
Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?
Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?
Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.
Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.
Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.
Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.
Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.
Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?
Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.
Kama chama kimekuchosha si uende act au ccm? unalalamika nini?
Jamani wachangiaji wote wanakuja kutukana tu, naomba hata mmoja angalau aje kupinga kwa hoja.
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

mayange
usitake kujipa ujiko usiokuhusu,lugha yako tu inaonyesha kuwa wewe ni gamba halafu unajidai kuwa unauchungu sana na cdm. Tulia dawa ipenye na mwaka huu mnalo.
Xaxa huo ndo ukanjanja wenyewe na nchi yetu haiitaji wanachama bendera kama nyny xo hata kama mbowe au huyo slaa akiongea pumba nyiye mwasapoti tu xaxa nyiye watu au...
Xaxa huo ndo ukanjanja wenyewe na nchi yetu haiitaji wanachama bendera kama nyny xo hata kama mbowe au huyo slaa akiongea pumba nyiye mwasapoti tu xaxa nyiye watu au...
Kama chama kimekuchosha si uende act au ccm? unalalamika nini?
Ni kweli hakuna mwanachadema kama huyu jamaa wanachadema karibia wote kwanza hawana historia ya kuhoji jambo lolote lililofanywa na Mbowe au Slaa haijalishi jambo hilo ni jema au la hovyo
Hamuwezi mkaelewa nyie vidagaa hata siku moja, endeleen kutumiwa tu, bil 200 bado mnaona sifa kutetea rushwa?? Kweli nyie ni watu wa ajabu sana.
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.
Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.
Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?
Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?
Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?
Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.
Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.
Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.
Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.
Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.
Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?
Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.
Neno likisemwa na Mbowe na Dr. Slaa halitakiwi kupingw wala kujadiliwa kwa sababu wao ndio miungu wa CHADEMA
CHADEMA haiwezi kuwa na mwanachama kichaa kama wewe.
Tunaunga mkono kwa dhati yaliyosemwa bungeni kuhusu ufisadi wa Zitto.
Taifa Kwanza Mtu baadaye!
na kama wanachadema wote wanaakili za kipuuz kama ww na wakafie mbali,, Serikal ya CCM unaleta kihere here kuihoji ila huo upuuz wenu hautak kuuhoj,,,pole sana