Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,711
- 4,642
nasikitika lakini nadhan napaswa kukiri kwamba mh raisi aliogopa kuzungumza na hao wazee kwa kuogopa kufunikwa na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani,jaribu kufikiri leo Raisi angeongea bila shaka kama kwaida hotuba isiyo na matumaini wala mamlaka halafu kesho yake vijana wa aina ya chadema unategemea ni hotuba ipi ingekubaliwa na umma? ,TISS hapa wamefanya vizuri wamesoma alama za nyakati.