Mbowe: Matatizo yenu yameletwa na CCM

Mbowe: Matatizo yenu yameletwa na CCM

Wakuu,
Katika hali ya kushangaza wakati wa ziara yake mikoani Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amedai kwamba amewasha moto wa kuiondoa CCM madarakani kwa kuanzisha Operation ijulikanayo kama Operation Delete CCM (ODC) kwa kuwa eti CCM imekaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne!
Hivi huyu Mbowe ndio yule aliyewahi kugombea urais au mwingine? Sasa kama hesabu ndogo namna hii za kujua kwamba hata miaka 40 haijafika kwa CCM kukaa madarakani atawezaje kuongoza nchi? Ndio maana kila mara anaanzisha Operation ambazo huwa hazifiki mwisho kisha anaanzisha nyingine!

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/759014-dk-slaa-apokea-kijiti-oparesheni-delete-ccm.html#post11153180
 
Wakuu,
Katika hali ya kushangaza wakati wa ziara yake mikoani Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amedai kwamba amewasha moto wa kuiondoa CCM madarakani kwa kuanzisha Operation ijulikanayo kama Operation Delete CCM (ODC) kwa kuwa eti CCM imekaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne!
Hivi huyu Mbowe ndio yule aliyewahi kugombea urais au mwingine? Sasa kama hesabu ndogo namna hii za kujua kwamba hata miaka 40 haijafika kwa CCM kukaa madarakani atawezaje kuongoza nchi? Ndio maana kila mara anaanzisha Operation ambazo huwa hazifiki mwisho kisha anaanzisha nyingine!

mtu aliyepata zero shuleni huku akitoka familia bora kila kitu kipo asikusumbue kumfatilia

mbowe ni 0 kichwani
 
We mbulula kweli, TANU ndio ileile CCM kama ambavyo Tanganyika ndio Tanzania
 
Wakuu,
Katika hali ya kushangaza wakati wa ziara yake mikoani Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amedai kwamba amewasha moto wa kuiondoa CCM madarakani kwa kuanzisha Operation ijulikanayo kama Operation Delete CCM (ODC) kwa kuwa eti CCM imekaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne!
Hivi huyu Mbowe ndio yule aliyewahi kugombea urais au mwingine? Sasa kama hesabu ndogo namna hii za kujua kwamba hata miaka 40 haijafika kwa CCM kukaa madarakani atawezaje kuongoza nchi? Ndio maana kila mara anaanzisha Operation ambazo huwa hazifiki mwisho kisha anaanzisha nyingine!

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ijiti-oparesheni-delete-ccm.html#post11153180

hata waliotengeneza ndege aina boing kubwa kabisa, walianza na majaribio ya kutengeneza vindege vidogo!
 
Ningebahatika kuwa rais wa Tanzania walau kwa wiki moja tu, kitu ambacho ningefanya ni kuhakikisha kuwa siku ya kwanza ya utawala wangu inatungwa Sheria ya kunyonga wanasiasa waliohujumu uchumi.

Siku ya pili napata orodha ya wahujumu uchumi sugu au mafisadi papa. Siku ya tatu wanafikishwa mahakamani. Siku ya nne kesi inasikilizwa, ushahidi unatolewa na watuhumiwa wanapewa dakika tano-tano tu za kujitetea kila mmoja. Siku ya tano hukumu zinatolewa. Siku ya sita wananyongwa hadharani. Siku ya Saba utawala wangu unaisha. Anaingia rais mwingine!
 
Wakuu,
Katika hali ya kushangaza wakati wa ziara yake mikoani Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amedai kwamba amewasha moto wa kuiondoa CCM madarakani kwa kuanzisha Operation ijulikanayo kama Operation Delete CCM (ODC) kwa kuwa eti CCM imekaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne!
Hivi huyu Mbowe ndio yule aliyewahi kugombea urais au mwingine? Sasa kama hesabu ndogo namna hii za kujua kwamba hata miaka 40 haijafika kwa CCM kukaa madarakani atawezaje kuongoza nchi? Ndio maana kila mara anaanzisha Operation ambazo huwa hazifiki mwisho kisha anaanzisha nyingine!

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ijiti-oparesheni-delete-ccm.html#post11153180

I think he is right... can you differentiate CCM na TANU na ASP?
 
Nyie wote mnajua mbowe alipata zero kidato cha sita sijui mnahoji kitu gani juu ya uelewa wake huyo ni sifuli kabisa.
 
Ujue akili ya mbowe ya ajabu kama magwanda yao.
 
Mbona mmechangia hii mada kwa nguvu sana kwenye issue ya ESCROW sijawaona kuchangia hata kidogo, naona mavi yamewabana kwenye ESCROW na mmeumbuka na hao wanaowatuma
 
Mbowe kuhutubia  mang'ula.jpg
Mbowe kuhutubia Mang'ula 2..jpg
Mbowe kuhutubia Mang'ula 3..jpg
Mbowe kuhutubia Mang'ula 4..jpg
Mbowe kuhutubia Mang'ula 5..jpg
Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang'ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
Mbowe kuondoka Mang'ula.jpg
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisndikizwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
Mbowee kuhutubia Mang'ula 6..jpg
PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
 
Duh! Nimelipenda hilo jukwaa. Yaani pamoja na fedha zote wanazowakamua wanachama wao bado wanashindwa kukodi jukwaa?
image.jpg
 
Back
Top Bottom