Mbowe: Matatizo yenu yameletwa na CCM

Mbowe: Matatizo yenu yameletwa na CCM

Afanye siasa ya kukufurahisha assadsyria? Mbona dunia itakuwa ukingoni?
 
Hahahahahahahahahahahahahah kwahiyo mbowe sasahivi kwenye mikutano yake anaongea kama muwakilishi wa ukawa na sio mwenyekiti wa chadema?????????

Hahaha hii ni story ya kufungia wiki kwenye kumi kali za amplifaya ya miladiayo. Kwikwikwi. Ukawa karibuni bia hapa calabash.
 
acha matusi

Bahati mbaya unachokiandika hakipo kichwani mwako - BRN

quote_icon.png
By assadsyria3

hahahaha ila nackia harf ya kinyesi
 
akihutubia wakazi wa ulanga leo amedai ukawa itawaletea maendeleo na kuanza kusema matatizo yenu yameletwa na ccm
ok ngoja tukubadiliane nae
ss sera za ukawa ni zipi
1 kuhusu afya
2 kilimo
3 elimu
5 viwanda na biashara
6 maji
7 uvuvi
nk cjackia sera ht moja hv maisha bora yanaletwa na sera au kuiponda ccm.
twaweza wameeleza wananchi wako frustrated na viongozi wote wa kisiasa tz. kwann viongozi hawazungumzi hoja na sera badali 80% ni kuponda opponent wao.

Potelea mbali leo acha nipigwe ban!! Wewe ni mpumbavu, unasema hizi siasa ni za mwaka 47?? Wananchi tuna mahitaji ambayo hayahitaji hata kuelezewa, hayahitaji sera!! Yanahitaji UTEKELEZAJI!!! Na kwa kuwa utekelezaji haufanyiki kwa sababu ya kukosa fedha (ambazo kimsingi zinaibwa na kufisadiwa na CCM). Unataka anaezungumzia Elimu, Maji, Uvuvi nk aweke sera zipi kama tu sio kusema atazitekeleza???? Kuna jambo gani la kimahitaji katika haya unalodhani halijazungumzwa au na CCM au vyama vya siasa??

Ungekuwa una ufahamu wa kutosha usingeshindwa kutambua kuwa basi ni kukosa "sera" au "hoja" kwa CCM ndio kunatuletea matatizo haya. Unachomaanisha ni kuwa kama sera za CCM zingekuwa nzuri basi tusingekuwa na matatizo tuliyonayo. Jua this is beyond sera, ni swala la wizi wa fedha za umma huku sera zikiachwa zikae kwenye makaratasi. Mboye anawaonesha kuwa wizi wa fedha za umma ndio tatizo linapoanzia.
 
Nikweli umasikini wa watanzania kuanzia majumbani,afya,elimu na kila kitu umeletwa na Ccm kwasababu ya serazenu mbovu na ufisadi Walla Mbowe hajakosea.Uchaguzi ukikaribia chama kitaandaa Sera zake watatuambia kwasababu tumeshawamini,lakini pia usifikiri Cdm wanakurupuka nakuahidi kila wanapokwenda kama Ccm isiyo na utaratibu inaahidi Meri pasipo na Ziwa wala Bahari tena kila mtu kwa mudawake
 
Rudi kwenye post zako karibu zote, wewe ni kupost juu ya Dr Slaa na Mbowe. This is true, I sometimes think, wewe kukicha unafikiria hao tu? We have critical issues in the country that need remedies BUT you cannot help at least to go for analysis on how we can help situations. Who told you that our problems are centred on Dr Slaa and Mbowe? Wewe ni msomi wa level ipi hasa? and does your level of education help you? Kaka, you deserve these words because you really misbehave and you don't give yourself a royalty you deserve

mkuu hembu eleza nimepotosha wapi.
 
TWAWEZA sio?
[h=2]View Poll Results: Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?[/h]Voters 720. This poll is closed

  • Edward Lowassa

    8111.25%
  • Dr. Willibrod Slaa

    59782.92%
  • Wote hawafai/sijaamua

    425.83%

​

hii kitu mkuu hapa chini
 
Nani alikudanganya kuwa maendeleo au mabadiliko huletwa na sera? Umekaririshwa?

Sera za elimu, afya, shughuli za kiuchumi, kwa vyama vingi katika mataifa mengi zinafanana. Kama ingekuwa ni sera ndiyo huleta maendeleo, basi viwango vya maendeleo katika mataifa yote vingekaribiana. Lakini ukweli ni kuwa pamoja na mfanano mkubwa sera, tofauti ya kiwango cha maendeleo kati ya mataifa ni tofauti sana.

Tatizo la CCM siyo sera bali ni udhaifu wa usimamizi, upungufu wa ubunifu, ukosefu wa uzalendo, na uwezo mdogo wa viongozi. Katikati ya yote ipo RUSHWA na UFISADI. Lakini wizi, ufisadi na rushwa vinasababishwa na udhaifu wa uongozi. Kama Kikwete angekuwa ni Rais imara na jasiri angeweza kuondosha rushwa, ubadhirifu na wizi. Maana huhitaji watu wengi kuondoa rushwa, unahitaji Rais imara na mzalendo tu. Nchi zote Duniani zilizokuwa zimekithiri kwa rushwa halafu ikaondolewa au kupunguzwa sana, ukichunguza ni Rais tu aliyeweza kuleta tofauti. Mfano mdogo nenda tu hapo Rwanda.

Hapa kwetu hatuna kiongozi wa kusimamia vita dhidi ya rushwa. Ukiona kiongozi anasema nileteeni ushahidi wa wala rushwa, ujue huyo ni kiongozi dhaifu na wala hana dhamira ya kuipiga vita, anatafuta kisingizio cha kutokushughulikia rushwa.

akihutubia wakazi wa ulanga leo amedai ukawa itawaletea maendeleo na kuanza kusema matatizo yenu yameletwa na ccm
ok ngoja tukubadiliane nae
ss sera za ukawa ni zipi
1 kuhusu afya
2 kilimo
3 elimu
5 viwanda na biashara
6 maji
7 uvuvi
nk cjackia sera ht moja hv maisha bora yanaletwa na sera au kuiponda ccm.
twaweza wameeleza wananchi wako frustrated na viongozi wote wa kisiasa tz. kwann viongozi hawazungumzi hoja na sera badali 80% ni kuponda opponent wao.
 
Nani alikudanganya kuwa maendeleo au mabadiliko huletwa na sera? Umekaririshwa?

Sera za elimu, afya, shughuli za kiuchumi, kwa vyama vingi katika mataifa mengi zinafanana. Kama ingekuwa ni sera ndiyo huleta maendeleo, basi viwango vya maendeleo katika mataifa yote vingekaribiana. Lakini ukweli ni kuwa pamoja na mfanano mkubwa sera, tofauti ya kiwango cha maendeleo kati ya mataifa ni tofauti sana.

Tatizo la CCM siyo sera bali ni udhaifu wa usimamizi, upungufu wa ubunifu, ukosefu wa uzalendo, na uwezo mdogo wa viongozi. Katikati ya yote ipo RUSHWA na UFISADI. Lakini wizi, ufisadi na rushwa vinasababishwa na udhaifu wa uongozi. Kama Kikwete angekuwa ni Rais imara na jasiri angeweza kuondosha rushwa, ubadhirifu na wizi. Maana huhitaji watu wengi kuondoa rushwa, unahitaji Rais imara na mzalendo tu. Nchi zote Duniani zilizokuwa zimekithiri kwa rushwa halafu ikaondolewa au kupunguzwa sana, ukichunguza ni Rais tu aliyeweza kuleta tofauti. Mfano mdogo nenda tu hapo Rwanda.

Hapa kwetu hatuna kiongozi wa kusimamia vita dhidi ya rushwa. Ukiona kiongozi anasema nileteeni ushahidi wa wala rushwa, ujue huyo ni kiongozi dhaifu na wala hana dhamira ya kuipiga vita, anatafuta kisingizio cha kutokushughulikia rushwa.

acha kubwabwaja pumba
 
Back
Top Bottom