assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Akihutubia wakazi wa Ulanga leo amedai ukawa itawaletea maendeleo na kuanza kusema matatizo yenu yameletwa na CCM.
Sawa ngoja tukubadiliane nae.
Sasa sera za ukawa ni zipi?
1 Kuhusu afya
2 Kilimo
3 Elimu
5 Viwanda na biashara
6 Maji
7 Uvuvi
Sijasikia sera hata moja, hivi maisha bora yanaletwa na sera au kuiponda CCM?
Twaweza wameeleza wananchi wako frustrated na viongozi wote wa kisiasa Tanzania. Kwanini viongozi hawazungumzi hoja na sera badali 80% ni kuponda opponent wao?
Sawa ngoja tukubadiliane nae.
Sasa sera za ukawa ni zipi?
1 Kuhusu afya
2 Kilimo
3 Elimu
5 Viwanda na biashara
6 Maji
7 Uvuvi
Sijasikia sera hata moja, hivi maisha bora yanaletwa na sera au kuiponda CCM?
Twaweza wameeleza wananchi wako frustrated na viongozi wote wa kisiasa Tanzania. Kwanini viongozi hawazungumzi hoja na sera badali 80% ni kuponda opponent wao?
View attachment 203008
View attachment 203009
View attachment 203010
View attachment 203011
View attachment 203014
Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang'ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
View attachment 203012
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisndikizwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
View attachment 203015
PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS