Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.

Kwa hiyo unataka tucheze mchezo wa cheupe... chekundu... tukikosa imekula kwetu, au sijakuelewa?
 
Kweli hafai, watanzania wakikubali kununuliwa kwa hela watajua wenyewe, mgombea anatisha kwa hela na wala sio mfanyabiashara
 
Maamuzi magumu ni pamoja na kuwasitiri maswahiba wewe ufe wao wapone
 
Pia kwenye bunge la katiba alikuwa bubu,kwahiyo hatujui nini msimamo wake,nitawashangaa sana ccm wakimsimamisha huyu jamaa yake Pasco kuwa mgombea wao.

Hivi Lowasa ni mzima wa akili kweli??
Mtu yupoyupo tuu.anachoongea hakielewek hoja anazojenga hazielewek.msimamo wake hauelewek.
Utasikia vijana ni bomu litakalolipuka..sasa unajiuliza huyu mtu ni mbunge ametoa ushaur gan ili bomu lisilipuke hamna lolote.......simwelew kabisa huyu mtu.km kwel atachaguliwa na chama chake.Hapo ndipo ntzd kuamin kuwa MONEY CANT BUY ONLY LIFE
 

duh. lowwasa kanunua wengi. yaani kwa jinsi ulivyopanic teh teh.
 

Mkuu nchi hii kuna wapumbafu wengi kuliko wajinga. Jamaa anaweza kuwa Raisi wa jamhuri yetu tujipe mda. Na mimi kama mpinzani makini napenda iwe hivyo.
 
Fisadi akemee ufisadi. Sawa na ngedere aamue kesi ya mahindi.
 
Mkuu nchi hii kuna wapumbafu wengi kuliko wajinga. Jamaa anaweza kuwa Raisi wa jamhuri yetu tujipe mda. Na mimi kama mpinzani makini napenda iwe hivyo.

mkuu sikatai. wale waliopigwa upofu wa fikra kutokana na noti wanaweza mpa kura zao. ingawa mtihani mkubwa wanao ccm maana karibu robo tatu ya wajumbe wa vikao maalumu vya ccm wameshanunuliwa na huyu bwana.
 
Eti Rais Lowassa,Waziri Mkuu Chenge,Waziri wa Fedha Rostam.Duuuh!!!!
 

Hapa nashawishika kwa asilimia 100
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…