Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 841
CHADEMA wanamuongelea mtu ambae hata hajateuliwa na chama chake kugombea, ni dalili ya kumuogopa.
Ungetegemea wapinzani wajikite kutafuta mgombea wao, au kama wa kwao ni wale wale wanajulikana miaka na miaka basi wakae kimya badala ya kufanya siasa zinazochagizwa na kinachoendelea kwenye siasa za ndani za C.C.M.
Kwa sababu kama Lowassa ni dhaifu na bubu kwa nini usikae kimya uombee ateuliwe ili uje umshinde? Hofu imetamalaki upinzania kwamba Lowassa ambae "anaeakisi mambo yanayowachukiza watu" akivuka tufani la upinzani ndani ya chama chake halafu akaja akatumia bendera ya C.C.M. kushinda Urais basi ndio mwisho wa upinzani nchini.

Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Lowasa akemee rushwa ataanzia wapi? Yeye mwenyewe anaona aibu.watu watamuuliza hata wewe?Lowasa toka nianze kumfahamu hajawahi kukemea rushwa wala ufisadi.bado anasema ooh nautaka urais
.sizitaki mbichi hizi duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu???
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,
Inawezekana kabisa Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama unavyokukera wewe na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.
Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
Mbowe ni mfalme pale UKAWA aweza kuhukumu mtu bila hata kumsikiiza na NCCR na CUF wakawa speachlesss nielewavyo mimi kiutaratibu lowasssa anayonafasi UKAWA vinginevyo.ithibitishwwe kwamba Hawezi kufanya hvyo
Tatizo amekwisha achwa bandarini meli imeshang'oa nanga muda haupo upande wake tena,Lowasa ni fisadi aliyekubuhu na juzi alisema anataka Nchi iwe na matajiri 20 ndio watalisha masikini wote,anakwenda kuwa dalali balaa kuzidi hata kikwete.Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,
Inawezekana kabisa Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama unavyokukera wewe na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.
Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
Mbowe kakasirika sana Lowassa aliposema mimi siami CCM kwa akili ya Mbowe alikuwa anajua Lowassa atakuja Ukawa.
Mbowe kakasirika sana Lowassa aliposema mimi siami CCM kwa akili ya Mbowe alikuwa anajua Lowassa atakuja Ukawa.
Yote uliyoandika tunayafahamu. Njoo na mengineMbowe ni mwizi sana, ana ghorofa la kutisha DUBAI...!!!
Mbowe kaweka billions Uswiss....!!!
Mbowe ni dictator CDM, ukitaka ushindane nae kidemocrasia cdm kuwania uwenyekiti, utafukuzwa cdm na kuitwa msaliti, eg ZITTO...!!!
Mbowe m.alaya mkubwa, mbunge wa Arusha mjini vitu maalum JOYCE MUKYA, hadi kazaa nae, kamfanya mke wake kabisa, na alimkatisha safari ya kibunge, akamwita DUBAI KTK HEKALU LAKE WAKAFANYA UZINZI wa kila aina, hadi mimba...huyo ndio Mbowe, yaani Joyce alikatishwa safari ya kibunge ya Dominica Republic na kumwita Dubai kuvuana nguo, kufanya ufuska...see pictures..
CDM ni chama cha KIFAMILIA, Mbowe kaoa binti ya Mtei, Mtei ndio founder wa CDM, yaani ndio BABA WA TAIFA KWA CHAGADEMA.... hapo kuna Democrasia...Zitto anajua mengi, kaaumia sana...Dr Slaa nae mzinifu tu like Mbowe, kaiba mke wa mtu, ni wale wale, na kutelekeza mke Rose kamili wake na watoto wake... wote mafisi...
Mbowe sio hata wa kum quote, very arrogant...!!! Anamhofia sana Lowassa sbb anajua shughuli yake na anavyokubalika...atashangaa mafuriko ya CCM thru Lowassa 2015...
Na Mbowe katoa haya maneno baada ya Lowassa kusema hatoki CCM, sbb alitegemea aende UKAWA...sbb Lowassa kaweka wazi hatoki CCM, Mbowe kachanganyikiwa...sbb hawana mgombea Urais UKAWA anayekubalika hata robo ya Lowassa wa CCM...!!!
Mwenyekiti wako JK kawaambia kuwa msiwe madalali na makuwadi wa wasaka urais. Wewe unafanya nini sasa?Jamani hebu tuweni wakweli tuwache ushabiki mandazi, Mbowe kwa Lowassa ni sawa kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.
Kwanza elimu za hawa watu ni kipimo tosha.
Dr.Slaa mwenyewe akimfikilia Lowassa presha inapanda ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi ya Lowassa.
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Mbowe kakasirika sana Lowassa aliposema mimi siami CCM kwa akili ya Mbowe alikuwa anajua Lowassa atakuja Ukawa.