Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.

Waziri wa uhamiaji Hussein Bashe.
 
Kweli Lowasa ni dhaifu kwa sababu hata ishu ya Escrow hakuwahi kuongea ili kuonyesha kama ana kerwa sasa ni Raisi gani huyo mtarajiwa. Kama anaumia anapoona umasikini wa watanzania kitakacho muongoza kama ni ile rasimu ya Warioba
 
Mbowe anakosea sana..muda huu ni wa kuimarisha chama chake na mgombea wao wa UKAWA sio muda wa kuanza kukosoa wengine..itafika october hapa ataanza kusema wameibiwa kura

lowassa bubu, kusema ukweli si kosa, leo imedhihirika, hata hotuba hawezi kutoa, kaandikiwa, hata kusoma hawezi
 

lowassa bubu, bado unabisha? lowassa dhaifu bado unabisha?hata wananchi wengi walikuwa hawamshangilii
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Si kubaliani na Mbowe Lowassa ni dhaifu na bubu kwenye kukemea ufisadi tu. Ni bubu na dhaifu karibia kwenye kila kitu.
 
Lowassa ni bubu wa kukemea ufisadi, ahsante Mwenyekiti.
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5

wanaomuamini Mbowe na viongozi wa chadema, wana akili kama za ng'ombe.
 
duh. lowwasa kanunua wengi. yaani kwa jinsi ulivyopanic teh teh.

Yangu macho, ukiwaeleza watu wanadhani Mungu amesafiri.... Bado yupo enzini na anachukia wote wanaojitwalia utukufu!
 

Kwa taarifa yako ilikuwa ni Project Lowasa
 
Wapendwa Tanzania njema ipo wodini kwenye dakika za kuzaliwa.....

Mkiambiwa Mungu wetu ni mkuu tunamaanisha kila neno; hajawahi shindwa....

Mm nazidi kuongeza pambio na tenzi za rohoni maana wengi wenu mliishi kwa mazoea; habari mbaya kwetu sote ni kila fisadi aweke mambo yake sawa maana ni garika na sisi lazima tufike nchi ya ahadi.

Alamsiki tuonane October kwenye alleluja kuu!
 
Mleta uzi umetaja gazeti na ukurasa ila hujataja ni la tarehe ngapi...isije ikawa la mwaka jana wakati sasa hivi mambo yameshabadilika sana. Katika siasa hakuna rafiki/adui wa kudumu.
 
Hatimaye CDM na UKAWA yaanza kuota magamba
 
hiyo kauli ilikua inasapoti ''over my dead body'' nani kama mbowe jamaniiiiii
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Kamanda vipi umeishanunua dodoki?
 
msilaum ububu wa lowasa chanzo chake ni kiburi;kisasi na woga ambao anamatch na aliempokea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…