MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

Ni kweli. Slgan ndiyo hiyo na imekubalika balaa. Kamanda ni nomaaa. Very bright
 
Ahsante Mbowe kwa kukiri kuwa ni Lowasa ndiye aliyeleta mabadiliko
 
Kuanzia Baby School hadi University hadi mashambani hadi visiwani hadi makazini slogan imeenea kwa kasi ya Ajabu ..
 
Kumbe wenye kuleta mabadiliko nchi hii ni CCM na si vinginevyo
 
Mbowe ni mtu muhimu sana ktk nchi hii,miongoni mwa watu ambao wataacha historia ktk nchi yetu ni Mbowe,Slaa,Lema,Lowasa,Mnyika
 
Back
Top Bottom