Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
23
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Kamanda Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika wafanya kweli Kigoma CCM wakili kuwa wanatisha. Sina Mengi angalieni picha.
 
Attachments

  • 104_2950.JPG
    104_2950.JPG
    608.4 KB · Views: 1,604
Samahani Ndugu Wadau wa Jf kamera yangu inasoma tarehe tofauti na jana lakini tukio ni la jana ni kosa la kiufundi nisameheni sana najuta kutokuwa makini kwa hilo.
 
Kamanda wa Vijana (Katibu BAVICHA Kasulu) Kamanda Masooud Bigangika (Mwenye SUTI NYEUSI)akiwa pamoja na Mwl Kaijage Katibu Mwenezi CHADEMA Kasulu wakikagua eneo la Ndege ya Viongozi wa CHADEMA i 104_2938.JPG 104_2938.JPG takapotua.
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
 
Watu wanashangilia tu, hizo pesa za kukusanya maoni wakati mnajua tayari tume iko equipped kwa kila kitu ikowemo fedha, zinatoka wapi, shangilia tu utakuja kulipa, we are going to finance you in return you will give us some.......................... ... At .................... Once you get...............," cdm reply " you shouldn`t worry reagarding that issue, not only .................. But also we will provide you with .............. At .....................
 
Hakuna mtu michosho jf kama ze marcopolo. Kalishwa unga wa ndele huyu jamaa. Mpaka katiba! Huyu ni zaidi ya --------.
 
Watu wanashangilia tu, hizo pesa za kukusanya maoni wakati mnajua tayari tume iko equipped kwa kila kitu ikowemo fedha, zinatoka wapi, shangilia tu utakuja kulipa, we are going to finance you in return you will give us some.......................... ... At .................... Once you get...............," cdm reply " you shouldn`t worry reagarding that issue, not only .................. But also we will provide you with .............. At .....................
Muulize Fast jet wako sasa hivi ni nini kilichobaki hakijauzwa!! tunadanganywa anaenda kutafuta misaada kumbe anaenda kunadia raslimali zetu!!
Umejiuliza Bush alikuja kufanya nini wakati Obama bado yupo hapa? Nchi inauzwa lakini umenyamaza tu!!
 
Tundu Lisu akifafanua umuhimu wa Serikali TATU katika katiba ijayo,wandishi wa habari na wananchi wakipiga picha.
104_2971.JPG
 
Unatosha sasa na inatisha sanaa... Cdm ni nowma... Tunawashika mbayaaa!!! Watanzania wa sasa tumeamka na hatuogope tena... Mapambano yanaendelea mpaka kieleweke
 
Huyo Polis ana sura nzuri na bila shaka anaelewa vema kazi yake. Wasi wangu ni kwa uelewa wa viongozi wake ataletewa mizengwe na si ajabu akahamishwa kituo masikini.
 
Back
Top Bottom