Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

Pole kwa ndugu zangu wanya Gasulo,hivi kweli nanyi mnakubali kutawaliwa kifikra na watu kutoka Kanda Kaskazini kweli???????????????

Chadema waliwafukuza KAFULILA,wakataka kumfukuza ZITO na wengineo kwa kuwa walionyesha uwezo wa kutawala na jamaa hawa wa KASKAZINI hawakuwa tayari kuonyesha DEMOKRASIA leo hii wanakuja KASULU,KIBONDO na bado mnawapa ushirikiano kiasi hicho,IMANI inanitoka na inaonyrsha ni kiasi gani sisi watu wa KGM hatuwezi kupambanua MAMBO ndo MAANA TUNALALAMIKA tuko nyuma kwa kuwa hata MAADUI ZETU AMBAO WAMEONYESHA KUTUFITINI na bado tumewawakaribisha kama WASHINGATAHE,KWA KWELI tutaendelea kuwa usingizini mpaka DUNIA ifikie mwisho mm nilidhani tumeanza kuamka,TULAHEZE KABISA
Mh! mufa wi bwebwe
 
Jamani hapa ni vumbi tu! Hata wanaccm wamekili CHADEMA NI CHAMA kinachotetea wananchi wanaonyanyaswa. 104_2945.JPG 104_2946.JPG 104_2979.JPG
 
Back
Top Bottom