Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

Samia mwenyewe ni masalia ya JPM.

Bila kutajwa na JPM asingekuwa hapo alipo.

Hao masalia wanaoharibu utawala wa mama ni akina nani?

Hata mapacha hawafanani tabia, mmoja anaweza awe mlevi mwingine mchamungu

cha msingi tumsaidie mama aipeleke nchi tunapo pahitaji, na ameshaanza kuweka nchi kwny mwelekeo mzuri kuliko huyo "bila yeye"
 
Hata mapacha hawafanani tabia, mmoja anaweza awe mlevi mwingine mchamungu

cha msingi tumsaidie mama aipeleke nchi tunapo pahitaji, na ameshaanza kuweka nchi kwny mwelekeo mzuri kuliko huyo "bila yeye"
Mwelekeo mzuri wa kupanga foleni ya umeme? Mateja kuongezeka kwa kasi mtaani?
 
Mwelekeo mzuri wa kupanga foleni ya umeme? Mateja kuongezeka kwa kasi mtaani?

kwani waliokuwa wanafanya tusipange foleni, mama kawameza kama vdonge?

waliofanya mateja wasiongezeke, mama kawapoteza?

kwann usitake kukiri tu kuwa, wana muhujumu tu mama ili isemwe hawezi.

watu saaa hv wanaishi kwa amani, hawana hofu, wanajua katiba inawalinda. Sio kile kipindi ambacho hujui jamaa ataamkaje na atapanga nn siku hiyo.
 
Lakini tulifika uchumi wa kati
 
Lakini tulifika uchumi wa kati
ambao unamsaidia nn mwanchi wa ileje huo uchimi wa kati?

deni la taifa lilishut sio mchezo

bei za bidhaa zilipanda kupita maelezo

tra ikageuza wafanya biashar maadui zao

wenye fedha, wakasingiziwa kesi, accounts zao zikawa freezed

msafar wa kiongoz mmoja una viiieeeiitee kama 40 hivi

huna ruhusa ya kukosoa... kha🙄

mwache mama apige kazi, tutafika tu
 
Mwananchi wa ileje anauza bidhaa zake
 
Kwani we mgeni nchi hii? au ndio kwanza umefungua biashara ulikuwa hujui kama TRA, TPA, Manispaa... hata kwenye huduma za kijamii kama "mwendokasi, zahanati nk" foleni hazijawahi kukata...
 
Kwani we mgeni nchi hii? au ndio kwanza umefungua biashara ulikuwa hujui kama TRA, TPA, Manispaa... hata kwenye huduma za kijamii kama "mwendokasi, zahanati nk" foleni hazijawahi kukata...
Kwa nini sasa hawakemei?
 
Biliani ya Amsterdam
Swali la kawaida tu hivi "kina dada mlivyokusanyana mkiongozwa na Veronica Farasi ati mnamtetea na kumlinda bwana yenu je kwanini kawaacha wajane?"
Amelaaniwa amtumainiaye mtu...
Jitafakari...
 
Swali la kawaida tu hivi "kina dada mlivyokusanyana mkiongozwa na Veronica Farasi ati mnamtetea na kumlinda bwana yenu je kwanini kawaacha wajane?"
Amelaaniwa amtumainiaye mtu...
Jitafakari...
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc
 
Tangu lini ukawa na mapenzi mema na hao uliowataja,waambie ndugai na msukuma huwaoni wako kule mjengoni na mbunge iko live kwa sasa
 
Kwann usemewe wakat ww ndo unaumia simama sema shida zako sio wangine ndo wakusemee shida zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…