Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa , Freeman Mbowe anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo Alhamis Agosti 22, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa kwenye kurasa rasmi za Chama hicho (X - Twitter)
Taarifa hiyo imetolewa kwenye kurasa rasmi za Chama hicho (X - Twitter)