Mbowe kuzindua fundraising ya kujenga msikiti wa kisasa Hai

Good move..as long as atashirikiana na waislamu wa hai ili wafuate taratibu za kiislam za kuchangisha pesa kwa ajili ya ujenzi wa msikiti..

Jambo jema mbunge ..
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

Acha Unafiki Dogo! Huku kwetu waislamu wan apita kila kukicha kuomba misaaada ya kujenga msikiti. tunatoa bila kujali dini zetu, wala vyama vyetu! Maana waislamu hawana kitu, hela yao wanatumiamia kuoa wake wenza na kutafunia gomba!
 
Naona kwa hakika hujui usemalo, kwani Gadaffy kamdhulumu nani? Labda kawadhulumu wamerakani na wenzake wa NATO kwa kuwazuia wasijichotee mafuta ya Libya kama wanavyofukua dhahabu yetu hapa bongo na kutuachia chengachenga na mishimo! Gadaffy alidhibiti mafuta ya Libya kwa 100% ndio maana wananchi wake walineemeka, kilichozidi alisaidia kwenye nchi maskini za Afrika, hakuondolewa na wananchi wake bali kwa nguvu za NATO na vibaraka. Kama ni misaada inayotokana na mabavu na dhuluma ni ile inayotoka nchi za magharibi wanaotunyonya rasilimali zetu kisha wanajidai kutusanifu na misaada ya masharti ya kulawitiana! Mh Mbowe kusaidia ujenzi wa Msikiti jimboni mwake ni sahihi kwani wananchi wa jimbo lake waliomchagua ni wa dini mbalimbali wakiwemo Waislamu, hata Baba wa Taifa kule Butiama alijenga msikiti wa kisasa.
Kweli "ukipenda chongo utasema kengeza" wale waliomtoa Gadaffi kwenye drainage pipe hakiwa hai na kumua walikuwa ni NATO?
 
Hatuhitaji msaada wowote toka kwa chama cha siasa.Mbowe kama anadhani ndio njia ya kuwawin Waislam basi kakosea njia. Kama aliwachukua wachache akawahonga ili aonekane na apate publicity basi kwa hilo kachemka!Tunaojitambua tunasema NO!
 
Gadaffi alitoa pesa kwa mbwembwe nyingi akajenga msikiti pale dodoma bila shaka msikiti ule akaupatia jina lake mwenyewe (msikiti wa gadaffi) ili aendelee kutambulika na kujulikana kote duniani kwamba amejenga msikiti

tujuze ule msikiti wanaoswali ni walibya?

Usisahau na Msikiti wa Manji pale Sokota mbele kidogo ya Tazara!
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

Nadhani uislam wa Hai ni tofauti na kwenu! wao ndio wamempa mwaliko Mh. Mbowe awe mgeni rasmi kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wao! kama kwenu hamruhusu hiyo basi waislam wa Hai hawana tatizo nalo!

Kumbuka hakuitisha harambee bali alijenga kwa mapenzi yake mara baada ya kupokea maombi ya wakazi wa pale.

Suala langu nihiyo harambee. Inakuwaje?

nashindwa kutofautisha kati ya hii mifano ya misikiti ya dodoma na hai.

waislam wa dodoma walimwomba gadaffi awasaidie kujenga msikiti, akajenga and it became pulic knowledge

waislam wa hai wamemwomba mbowe a-grace tamasha walioliandaa wao wenyewe (waislam) kuchangia msikiti, amekubali na msikiti utajengwa inshallah.

so, what's fnckiug diferrence?
 
Kumbuka hakuitisha harambee bali alijenga kwa mapenzi yake mara baada ya kupokea maombi ya wakazi wa pale.

Suala langu nihiyo harambee. Inakuwaje?

Mbowe anasherehekea siku yake ya 'kubatizwa' kwa kujenga Msikiti. Kama ulivyosema ni kweli, Msikiti wa kisiasa.
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

JAMANI JAMANI...Kupinga kila kitu sio Ujanja! tuache Ushabiki wa Kisiasa...,Mbowe anajitolea kufanya harambee ya msikiti...! kwakuwa yeye ni mbunge na anaitumikia Jamii na Umma kwanini jambo lisiwekwe hadharani...,Sijackia Majigambo yeyote ambayo Mbowe Amefanya! Zaidi tu Mshaanza Majungu
 
nashindwa kutofautisha kati ya hii mifano ya misikiti ya dodoma na hai.

waislam wa dodoma walimwomba gadaffi awasaidie kujenga msikiti, akajenga and it became pulic knowledge

waislam wa hai wamemwomba mbowe a-grace tamasha walioliandaa wao wenyewe (waislam) kuchangia msikiti, amekubali na msikiti utajengwa inshallah.

so, what's fnckiug diferrence?
Usituletee porojo za vigengeni. Tupe ushahidi kuwa Waislam wa Hai walipanga leo kuchangishana na kumuomba Mbowe awajengee Msikiti kama sio sherehe za 'kubatizwa' kwake Mbowe.
 
Hili nalo neno.

Gadaffi alitoa pesa kwa mbwembwe nyingi akajenga msikiti pale dodoma bila shaka msikiti ule akaupatia jina lake mwenyewe (msikiti wa gadaffi) ili aendelee kutambulika na kujulikana kote duniani kwamba amejenga msikiti

tujuze ule msikiti wanaoswali ni walibya?
 
Nadhani uislam wa Hai ni tofauti na kwenu! wao ndio wamempa mwaliko Mh. Mbowe awe mgeni rasmi kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wao! kama kwenu hamruhusu hiyo basi waislam wa Hai hawana tatizo nalo!

Ukweli ni huo. hakuna harambee ya kujenga msikiti iwe hai au hata boma ng'ombe au kikatiti na hakuna tofauti na mchamba wima wala butundwe kule geita.Kuna taratibu zake lakini sio harambee. hapo Mbowe amepotoka. na kuingia choo cha kike.

JAMANI JAMANI...Kupinga kila kitu sio Ujanja! tuache Ushabiki wa Kisiasa...,Mbowe anajitolea kufanya harambee ya msikiti...! kwakuwa yeye ni mbunge na anaitumikia Jamii na Umma kwanini jambo lisiwekwe hadharani...,Sijackia Majigambo yeyote ambayo Mbowe Amefanya! Zaidi tu Mshaanza Majungu

Kwa waislam kuna tartibu zake za kujenga au hata kuchangisha. haitakiwa mambo hayo kufanywa hadharani na watu kujisifu kuwa wametoa zaidi. Kila mtu anachangia kwa siri kile alichonacha na aipaswi kujua jirani yako amechangia kiasi gani. Kujionyesha kwa Kiislam ni RIA na hiyo Allah ataki kabisa.

Hakuna harambee. Hujawahi kusikia na hautawahi kusikia harambee ya kujenga msikiti full stop.

Kwani Uislam ni Dini nakuna kaanun zake sio unavyojitakia wewe.

Mh kaingizwa choo cha kike.

Barubaru,

..kila mahali pana taratibu na mipangilio yake.

..binafsi sioni tatizo kwa Freeman Mbowe kuchangia ujenzi wa msikiti kwa siri-siri au mbele ya kadamnasi[in public].
 
Usituletee porojo za vigengeni. Tupe ushahidi kuwa Waislam wa Hai walipanga leo kuchangishana na kumuomba Mbowe awajengee Msikiti kama sio sherehe za 'kubatizwa' kwake Mbowe.

Swali la ujenzi
 
Mbowe anasherehekea siku yake ya 'kubatizwa' kwa kujenga Msikiti. Kama ulivyosema ni kweli, Msikiti wa kisiasa.

Kuna tofauti ya kujenga na kufanya harambee.

Kujenga ni wewe unajenga pasi na kuomba msaada kwa mtu na unajenga kwa ajili ya Allah. Kwani misikiti yote ni mali ya Allah sio mtu au kiumbe chochote. Na ibada zote ndani ya msikiti zinafanywa kwa mujibu wa maarisho ya Allah na si mjengaji.

Kufanya harambee ni kuita watu na kuanza kunadi watu wajitokeze hadharani na kutoa ahadi zao bila kificho kitu ambacho katika Uislam hakuna kabisaaa. ni kutokanje ya mafunzo ya Allah.

Hebu nieleze umewahi kusikia harambee ya kuchangia msikiti zaidi ya hii? je ustahajabu hilo?

tafakur

Barubaru,

..kila mahali pana taratibu na mipangilio yake.

..binafsi sioni tatizo kwa Freeman Mbowe kuchangia ujenzi wa msikiti kwa siri-siri au mbele ya kadamnasi[in public].

Joka kuu.

usikurupuke.

Uislam ni Dini na una taratibu zake iwe tanzania, oman au hata China wote ni kitu kile kile.

Imekatazwa kabisa kufanya au kutoa msaada kwanye kadamunassi kwani hio ni RIA na haifai kabisa. hayo yamo dhwahir katika Qur'An.

sasa Mbowe anakwenda kinyume na Qur'an na hivyo tunasiamama na kusema sio sahihi.

Je umewahi kusikia kuna Harambee ya kujenga msikiti huko Tz au popote pale zaidi ya hii ya Mbowe? jiulize kwanini?

tafakur

Barubaru,

..Bakhresa anasaidia wale omba-omba hadharani kabisa.

..mbona hamumkashifu kwa kufanya hivyo?

..nadhani tatizo lenu ni Mbowe, na si kitu kingine.

..lakini pia mnakwenda mbali sana ktk hizi chuki zenu.

..I see nothing wrong kwa Mbowe kuwasaidia ndugu zake ktk ujenzi wa msikiti wao.
 
Back
Top Bottom