Mbowe kuzindua fundraising ya kujenga msikiti wa kisasa Hai

Usituletee porojo za vigengeni. Tupe ushahidi kuwa Waislam wa Hai walipanga leo kuchangishana na kumuomba Mbowe awajengee Msikiti kama sio sherehe za 'kubatizwa' kwake Mbowe.

ungekuwa umesema cha maana kama ungetuthibitishia kuwa mbowe (asiye mwislamu) ndiye aliyeandaa tamasha la waislamu!

vinginevyo, common sense ina-apply!
 
Barubaru,
Katika msikiti wa Bondeni Arusha pale nje kuna sanduku la sadaka, kwamba kila apitae anaombwa atoe chochote,
Mitaani Singida wanapita watu, wanaofahamika misikitini, wakiwa na visanduku kutoka msikitini wakiomba misaada mbalimbali ya fedha aidha kwa ajili ya ujenzi wa misikiti au kitu kingine
Hii yote ni hadharani, na lengo lijuzwa kwa waombwaji
SWALI: Hapo kitabu cha Quran kinasemaje, ni RIAH na kuwa sadaka hizi hazifai au?????

Kabla kuendelea. Unajua neno Harambeeee?

Je kuweka sadaka yako katika Kijisanduku ni Harambee?

Nijibu hapo kisha tuendelee.

Na hao Waislam wa hai wanaokubali harambee ya huyu mwenye za haram za vilabu vya usiku nasema wana walakin. Wanautukanisha Uislaam na kama kweli basi Wakiujenga huo msikiti wauite Masjid Bilicana
MBONA MLIKUWA MNAITAJI KODI ZA mBOWE kuendeshea mahakama ya kadhi??
Ukizaliwa muislam wa Pwani sio tiketi ya kujifanya mjinga.
Mbona wahindi na waislam wa Machame sio walalamishi???????????????????????????????????????????????
 
Marytina,

Kumbuka tatizo sio nia yake njema ya kuchangia. Bali njia anayotaka kuchangisha pesa hizo ndio sio sahihi hata kidogo.

Nakubaliana na FF kuwa msikiti huo uitwa Masjid Bilicanas na uangalie kibla yake pale ilipo Bilicanas pale makunganya str Dar es Salaam.

MBONA MLIKUWA MNAITAJI KODI ZA mBOWE kuendeshea mahakama ya kadhi??
Ukizaliwa muislam wa Pwani sio tiketi ya kujifanya mjinga.
Mbona wahindi na waislam wa Machame sio walalamishi???????????????????????????????????????????????

Vp MoU ya kanisa na Serikali ya TZ? kwani zisingetosha kujenga misikiti?

Acha ushabiki wa kidini ni siku ya kuzaliwa na siyo ya kubatizwa kuzaliwa na kubatizwa ni tofauti ww
Akili yako mgando inasababisha unadandia treni kwa mbele. Sikulaumu sana kwa kuwa mmezoea kuangalia vitu juu juu tu. Mbowe kazaliwa Nov 1961 na 'kabatizwa' Dec 1961. Sherehe anazofanya hapo ni 'ubatizo' na si vinginevyo. Ndio maana tunasema sherehe za 'kubatizwa' Mbowe hazikubaliki kufanyika Msikitini eti tu kwa kuwa sherehe hizo zitaambatana na 'haraambeee' ya kuchangisha pesa za kuujenga Msikiti uwe wa kisasa.
 
Tatizo la ndugu zetu hawa wa upande wa pili wanafananisha Msikiti na kanisa.

wanashindwa kuelewa kuwa katika Uislam hakuna msikiti wowote ulio Bora au wa kisasa zaidi ya Ule wa Makka na Madina. Na hili limebainishwa wazi katika Qur'an. Na ndi waislam kutoka Dunia nzima wanatakiwa wafanye ziara kuitembelea.

Sasa unaposema msikiti wa kisasa kwa maana gani? Kwani katika Uislam kila kitu ni sawa. Hata ukisikia Mfalme au Rais au kiongozi wa juu amefariki na anazikwa kwa mujibu wa tartibu za kiislam basi atavikwa Sanda kama atakavyo vikwa masikini. Atabebwa na Jeneza hata kama anamiliki magari na madege kama atakavyo bebwa masikini na kuzikwa kwenye kaburi ambalo atakutana na mchanga tu. Na swala ya maiti kwa wote ni sawa uwe tajiri au masikini.

Kwa wenzetu ni tofauti kidogo. Nakumbuka nilikuja Tanzania mapumziko na nikabahatika kuhudhulia misa na maziko ya Pilot Mazura ambapo misa ilifanyika kule kanisa la msasani karibu na Kwa Warioba. Kulikuwa na ma padre watatu wote hao walisoma misa. Na misa ilichukua zaidi ya masaa mawili na nusu . Nikajaribu kuwauliza baadhi ya watu niliofuatana nao je hata masikini Misa yake inachukua muda mrefu hivi? Jibu hapana hii inategemea na mtu na wadhifa wako. ...

Poleni sana

Back
Top Bottom