Na ikitokea hivyo ni bora tu kuliko ccm kujifanya mbabe na mwenye hati miliki.Usichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Hivi karibuni Mh. Mbowe aliweka wazi kuwa baadhi ya watu wanaumia , wanaonewa hawana uhuru wananungunika! Hii ni kauli akiwa mbele ya Mh. Rais wetu tar 9.12.19 pale Mwanza. Na aliom ba maridhiano ya Kitaifa. Ukipitia maoni ya wengi mitandaoni, wanashutumu kauli ya Mbowe. Hata hivyo, kwa maoni yangu, bado ninasisitiza,alikuwa sahihi. Mfano rahisi ni Uchaguzi wa Serikai za mitaa. uliopita. Nina jirani yangu Mwenyekiti wa mtaa - ccm amenisimulia anavyoshindwa kuunganisha watu wake,kisa manunguniko . Wanasema hawajamchagua ! Waliyemtaka aliondolewa jina . Huu ni mfano mdogo tuu. Siku za mwisho za Gadaffi ( ninajua siyo mfano mzuri). alilaumu raia wake kwa kukosa fadhila za kupewa bara bara nzuri,elimu na afya bure, niliozesha vijana wenu bure nk. Leo mmeamua kuungana na makafiri Wazungu kuniua, nilijua hamtaweza kumbe sikuwasikiliza!!!! Manunguniko katika jamii zetu hata kama yatatoka kwa wachache,hukua na kupata waungaji mkono ambao huwa tishio mbeleni. Sipendi nchi yangu ifike huko, muda ni huu kama ali vyoshauri Mh. Mbowe.
Na ni hao hao huleta hutengeneza madawa unayotumia ukiumwaUsichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Hawalet bure
Usichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Hata kama sio walibya ila waliwashirikisha walibyaUsichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Kenya jirani hapa wameridhia kujenga umoja wa Kitaifa. Wanaenda vzr sana,nadhani wazo la Mbowe bado ni jema.Kwa maana hiyo agenda ya upinzani kwa sasa ni amani?
Mbona amani tunayo siku zote.
Vipi kuhusu agenda zao za zamani nini tasmini yao?
Ningefikiri labda wangeliomba baadhi ya wizara wapewe wao 2020 ili tuwapime.
Ni kheri kushirikiana na mkoloni mzungu kumtoa mkoloni mweusi ccmUsichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Usichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Usipotoshe kabisa. Walio mkataa Gaddafi ni walibya kwa matendo yake ya kuminya Uhuru na hao mnaoita mabeberu wakapata mwanya wa kuchochea na kusaidia kumuondoa.Usichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Ungekuwa umepungukiwa damu tungekuongezea, tatizo umepungukiwa akili tunakuhurumia.Usichojua ni kwamba, waliomkataa Gaddafi walikuwa sio walibya ni hao hao amabo wewe na Mbowe mnawashangilia
Trump hakukosea kutuita shimo la choo, watawala wetu mambo wayafanyayo ni shithole hovyo kabisa.Demokrasia ndio msingi.. kama hujui hata nyani kwenye vikao vyao husikilizana na kupiga kura.
Kama hakuna demokrasia, hakjna maendeleo.
Nchi kama sweden na norway mbona zipo vizuri na sina demokrasia.
Pepo gani tupo Tanzania.
Wanaoweza kusoma albadiri wafanye hima.. tanzania yetu inapotea.
Eti mnajitoa mahakama ya haki za binadamu?
Mnataka kutu ua watanzania wote?
Nini hasa sababu ya kuikimhia mahakama ya haki za hinadamu kama mpo vizuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa unachanganya mambo sana! Sasa anachofanya Magufuli, huku akina Mbowe wakilaani kina tofauti gani na walibya waliomkataa Qaddafi? Mbowe amezidi na nadhani munampa ushabiki unaozidi uwezo wake.Hivi karibuni Mh. Mbowe aliweka wazi kuwa baadhi ya watu wanaumia, wanaonewa hawana uhuru wananungunika! Hii ni kauli akiwa mbele ya Mh. Rais wetu tar 9.12.19 pale Mwanza. Na aliomba maridhiano ya Kitaifa. Ukipitia maoni ya wengi mitandaoni, wanashutumu kauli ya Mbowe.
Hata hivyo, kwa maoni yangu, bado ninasisitiza,alikuwa sahihi. Mfano rahisi ni Uchaguzi wa Serikai za mitaa. uliopita. Nina jirani yangu Mwenyekiti wa mtaa - ccm amenisimulia anavyoshindwa kuunganisha watu wake, kisa manunguniko . Wanasema hawajamchagua ! Waliyemtaka aliondolewa jina . Huu ni mfano mdogo tuu. Siku za mwisho za Gadaffi ( inajua siyo mfano mzuri). Alilaumu raia wake kwa kukosa fadhila za kupewa bara bara nzuri,elimu na afya bure, niliozesha vijana wenu bure nk.
Leo mmeamua kuungana na makafiri Wazungu kuniua, nilijua hamtaweza kumbe sikuwasikiliza!!!! Manunguniko katika jamii zetu hata kama yatatoka kwa wachache,hukua na kupata waungaji mkono ambao huwa tishio mbeleni. Sipendi nchi yangu ifike huko, muda ni huu kama ali vyoshauri Mh. Mbowe.