Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Nimekuja kugundua kwamba Mbowe alibebwa tu na chama, lakini yeye kama yeye ni kilaza tu
Msingi wa chama ni wanachama sio mapato kama unataka mapato anzisha kampuni.Usipokuwa na mapato yako siutaendelea kuwa mtumwa
Utakuwa na shida ya akili, bila mapato utawafikiaje wanachama? utakuwa unawapigia cm?Msingi wa chama ni wanachama sio mapato kama unataka mapato anzisha kampuni.
Akina Yericko bado hajawapa pension yao ya uchawa mtiifuHajamalizana na wapambe wanaomzunguuka,anataka kuwalipa