Mbowe kuiuza CHADEMA kwa mafisadi

Mbowe kuiuza CHADEMA kwa mafisadi

Kama Mbowe aliweza kuiuza Chadema bila Wanachama kujua. Leo tukimpa Nchi si tutauzwa tukiwa hatuna taarifa!!!?
Mfanyabiashara hawezi kuwa Mwanasiasa. Anachowaza yeye ni Biashara tu.

Lowasa akiingia ikulu, Mbowe ndio atakuwa mshauri wake. Biashara itafanyika sana IKULU.
Watanzania tutajuta!
 
Hivi nyinyi chadimu munasoma na kuelewa kweli au misukule na Pete ya lowassa bado inawasubua kichwani

Mkuu, mtu mwenye akili timamu na mcha Mungu hawezi kushabikia ulaghai huu eti Mabadiliko wakati kinara wa ufisadi ndiyo mgombea. Wanajivua ufahamu walivyokuwa wanasema eti ole wao CCM wakimteua?
Hapana, hili ni dili la Mbowe na alilijua zamani kuwa ni option B ndiyo akaamua awapumbaze wafuasi wake. Wenye akili walitimka kama Slaa na Lipumba
Eti leo wafuasi waliolaghaiwa na Mbowe wanawaita wasaliti hawa wazalendo waliokataa kuuzwa na chama?!
Historia itakuja kuwahukumu wale wote walioshabikia dili hili ovu na chafu. Sasa acha wajipumbaze kwa muda huu mfupi ila watanzania wengi ni wachapa kazi hawana muda na ujinga huu. Tanzanians are not fanatics hata kama elimu ndogo. Na wasomi ndiyo wametia aibu kushabikia dili hili la Mbowe! Ngoja waone mwisho wake!
 
nilimpuuza sana Nickname hata sikuona haja ya kuchangia kwenye uzi wake niliofikiri ulikua wa kipuuzi sana.....SAMAHANI SANA KAKA MKUBWA KOKOTE ULIKO!ulikua sahihi kabisa kuchokoza mjadala huu na kwakweli najisikia aibu kuwaamini hawa wahuni kwamba they were a real deal!

hongera Zitto kwa kua na msimamo n holding to what u believe!
 
mkuu Hivi hawa ambao bado wako Chadema wanalielew kweli kuwa chama chao kimeuzwa kwa fisadi.
 
Hawaelewi kabisa mkuu. Kuelewa kunahitaji pumzi, subira na maono. Hawa wenzetu hawana vyote hivyo. Hawa wenzetu mambo yao pa pa pa pa ju ju tu. Subiri ipite tarehe 25 Oktoba tutakapokuwa tumeshamkata sterling mfalme wa Sanaa za maigizo ya uharibifu na kuweka wazi yoote yaliyositiriwa ndipo hapo watakapofunuliwa na kusema Shikamoo CCM
 
Hii thread imewekwa toka 2011 humu JF,, lakini imeelezea kile kinachotokea sasa 2015.. sasa sijui hawa manyumbu hawaoni haya,, poleni manyumbu, hatuko tayari kupigwa dili tukiwa hai,,
 
Mahaba niue hayo,, hawaoni hawasikii,kama mabadiriko si mumuunge mkono hashim lungwe?? Maana huwa mnasema hata likiwekwa jiwe na CCM nyie mtachagua jiwe, sasa kama ni hivyo kwanini asiwe HASHIM RUNGWE??,,, bila shaka mpo kwenye lindi la unafiki, poleni sana, GWAJIMA amekuwa sehemu ya wanaharakati na wapigania ukombozi???? 2011 mliambiwa 2015 mbowe atamuuzia chama lowassa na kweli imetokea lowassa ni mfalme wa mabadiriko leo na midume yote inamsujudia,, masikini wengine walimuita lowassa fisadi na wakamlani mpaka kuwaambia watoto na wajukuu zao wakaenae mbali maana ni hatari kwa taifa,,, leo na usomi wao wanapiga makofi na kumshangilia pia kushauri wengine, watoto, wajukuu na wake zao kumshangilia na kumsujudia,,, akijamba hayanuki leo ila ni mwendo wa kumwambia aongeze
 
Kwi kwi mkuu!
Naona umefunguka! Ila nashangaa hata mimi kuona wasomi wanashabikia mabadiliko na wameuzwa jumla!
 
Kama Mbowe aliweza kuiuza Chadema bila Wanachama kujua. Leo tukimpa Nchi si tutauzwa tukiwa hatuna taarifa!!!?
Mfanyabiashara hawezi kuwa Mwanasiasa. Anachowaza yeye ni Biashara tu.

Lowasa akiingia ikulu, Mbowe ndio atakuwa mshauri wake. Biashara itafanyika sana IKULU.
Watanzania tutajuta!

Mabadiliko kupitia UKAWA ni mchezo wa kuzimu umeasisiwa kuzimu na utekelezaji wake ni duniani Tanzania kwenye jamii inayopenda kuamua kishabiki shabiki na ndiyo maana mchezo huu umesheheni wababaishaji, waongo, vigeugeu, wanafiki na kubwa zaidi wachungaji walioasi wanaotamani kufuta dini za wengine. Tunasema mshindwe tena the big noooooooo. Magufuli Magufuli futa hili litaasisi la kuzimu
 
Ukawa Hivi huu Uzi munausoma lakini. au Pete ya lowassa na misukule ya gwajima inawasubua
Ritz nisaidie kunitia wanachadimu
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imewekwa toka 2011 humu JF,, lakini imeelezea kile kinachotokea sasa 2015.. sasa sijui hawa manyumbu hawaoni haya,, poleni manyumbu, hatuko tayari kupigwa dili tukiwa hai,,

Sterling wa mchezo huu wa mabadiliko kupitia UKAWA anasifa zote alizonazo shetani hususani uongo (imeandikwa shetani ni baba wa uongo) unafiki, ukigeugeu ndiyo maana amewapofusha macho watu wazima na hekima zao. Eti mtu unatumia miaka kumi kujiandaa kuitetea ccm na kupeperusha bendera yake halafu unatumia siku mbili kuikana na kuanza kuhamasisha watu watetee chama usichokijua tangu uzaliwe!!! Hivi hii kama siyo mchezo ya kiibilisi tuiteje? Mshindwe na mlegeee milele
 
Mahaba niue hayo,, hawaoni hawasikii,kama mabadiriko si mumuunge mkono hashim lungwe?? Maana huwa mnasema hata likiwekwa jiwe na CCM nyie mtachagua jiwe, sasa kama ni hivyo kwanini asiwe HASHIM RUNGWE??,,, bila shaka mpo kwenye lindi la unafiki, poleni sana, GWAJIMA amekuwa sehemu ya wanaharakati na wapigania ukombozi???? 2011 mliambiwa 2015 mbowe atamuuzia chama lowassa na kweli imetokea lowassa ni mfalme wa mabadiriko leo na midume yote inamsujudia,, masikini wengine walimuita lowassa fisadi na wakamlani mpaka kuwaambia watoto na wajukuu zao wakaenae mbali maana ni hatari kwa taifa,,, leo na usomi wao wanapiga makofi na kumshangilia pia kushauri wengine, watoto, wajukuu na wake zao kumshangilia na kumsujudia,,, akijamba hayanuki leo ila ni mwendo wa kumwambia aongeze
Nawashangaa sana lisu, mdee na mnyika. Sikutarajia kwamba wangeangukia kwenye ujinga huu.
 
Aione Mzee Mwanakijiji Mkuu Lizaboni nini maoni yako juu ya kadhia hii ya tangu 2011?

Mkuu watakuwa wameshaiona kwani Mwanakijiji katika operesheni zinduka ameigusia dili hili la 2011.
Narudia Mbowe ni mtu hatari na adui wa upinzani! Kazi yake ni kuua kisiasa wanaompinga au kushtukia dili lake!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom