Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.