Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,893
- 11,376
Wamwache agombee kama atakazania na pasipokuwa na alternative ya maana. Na watakuwa wanalipa fadhila...Mzee Rungwe asiwe mgombea.
..wataonekana hawako serious.
..hata sera ya ubwabwa wanatakiwa waachane nayo.
Chaumma inapaswa kujikita kwenye ubunge, udiwani na kura za ujumla.
Uzuri wa sera ya ubwabwa ni rahisi kuelewekwa na mtu wa kawaida. Kama MAGA. Na "it is the economy, stupid". Na "Change".
Amandla....