Mbowe: Kauli ya Mbatia kuhusu wabunge wa UKAWA kurudi Bungeni ni hisia zake

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amesema kauli ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI, James Mbatia kuwa Wabunge wa UKAWA watarudi kusema Bungeni ni hisia zake. Aidha Mbowe amesema CHADEMA hawajawahi kusema watasusia Bunge milele.

Ikumbukwe kwamba siku za hivi karibuni, viongozi wa dini na Viongozi wa UKAWA na ACT-WAZALENDO walikutana kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.

My Take: Kauli hizi mbili yaani ya Mbowe na Mbatia zinaonekana kukinzana. Tutarajie nini?

Chanzo: Clouds Redio
Tatizo la Mbowe anajiona ndio Mungu wa vyama vyote vya upinzani.
 
mambo ya cuf yanakuja.Chadema wamefanya kila hila kuiwa Cuf na vyama vinavyounda ukawa
 
By the way, nilisikia Mwenyekiti anadaiwa na NHC kodi ya zaidi ya Bilioni moja na muda wa mwisho ilikuwa leo. Hili nalo lina ukweli wowote? Mwenye taarifa za uhakika atupatie.
 
Hivi Clouds Radio si ambayo Mtukufu anaipenda kusikiliza na huwa anawasalimu watangazaji WOTE au ni ipi?????????????
 
Mbowe anapaswa kujua Mbatia ni mwenyekiti mwenza wa UKAWA. Na anapaswa kujua kuwa wamebaki wawili (Mbowe na Mbatia) tu kama mayai ya njiwa. Akijiona bora kuliko mwenzake, UKAWA itageuka UKIWA soon.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amesema kauli ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI, James Mbatia kuwa Wabunge wa UKAWA watarudi kusema Bungeni ni hisia zake. Aidha Mbowe amesema CHADEMA hawajawahi kusema watasusia Bunge milele.

Ikumbukwe kwamba siku za hivi karibuni, viongozi wa dini na Viongozi wa UKAWA na ACT-WAZALENDO walikutana kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.

My Take: Kauli hizi mbili yaani ya Mbowe na Mbatia zinaonekana kukinzana. Tutarajie nini?

Chanzo: Clouds Redio
unasikiliza radio ya masho**
 
Utawala wa kambale....baba sharubu,mtoto sharubu,familia nzima sharubu.
 
CLOUDS NI CCM HAWANA JIPYA HAO,UNGENAMBIA BBC SAWA

BBC ni Chadema sababu chadema ni mamluki wa nchi zinazowafadhiri ili nchi yetu ipate maafa. MUNGU awalaani wanaotumiwa ndani ya chadema
 
Clouds hovyoo kabisaaa usiwaamini mkuuu, amini kwa upande Wa burudani na michezo tuu!!
Hapana ni kwenye michezo tu. Kwenye burudani ni wanafiki na wakandamizaji ndio chanzo cha kuibuka kwa kundila Antivirus, Hata Juzi Ruby kajitoa Fiesta huko Mwanza kwa sababu ya kunyonywa kimasilahi
 
Back
Top Bottom