Mbowe karudi CCM kimya kimya?

Ingekua mtu akipost kitu anatoa pesa. Post nyng zngekua za msingi humu.
 
Umepuyangaaa kinyamaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Sio kweli unachokisema na kwenda kwenye msiba sio hishara ya kurudi ccm
 

Eddy natamani akili yako ingekuwa na akili hata kidogo hasa wakati huu tunapoomboleza misiba hii ya wenzetu. Nasema akili yako ingekuwa na akili kwa sababu msiba ni jambo la wote. Ukiona mtu au kiongozi analeta ubaguzi hadi msibani huyo hafai kukaa hata na nguruwe achilia mbali binadam.
 
Ujinga mwingine umepitiliza. Hii post pia unalipwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…