Mungai sio mchaga angekuwa mchaga angeendaMbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Mungai sio mchaga angekuwa mchaga angeenda
Huu ni uchochezi, Jamhuri mko wapi mje mumtie huyu nguvuni? au ile sheria ipo tu kwa ajili ya kuwashughulikia wale wote wanaomuudhi Rais? huyu ni mchochezi na amendika maneno ya maudhi......Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Acha ujinga wewe,Mbowe alikuwepo kwenye msiba wa spika mstaafu si kutokana na kuwa Mwenyekiti wa Chadema bali Kiongozi mkuu wa upinzani bungeni na ndio maana anapata hata hizo stahili za kuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni,hayo ya akina Mungai au Lema ni porojo tu sasa kama Mungai alikuwa Chadema mbona hakuagwa ki Chadema.Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Mkuu watu wengine akili yao ndogo ni kama ma-zombie amesahau kuwa Mbowe ni kiongozi mule mjengoni yeye anadhani Mbowe ni kiongozi wa Chadema tu na ndio analeta ujinga hapa,watu wakisema tujibidisha hata kutafakari wao na mihemuko tu,utalinganisha msiba wa kitaifa na kesi ya kujitakia ya LemaMkuu usiwe unapoteza muda mwingi kumjibu MJINGA Kama huyu
Hakuna ulichoandika,kanywe chai au kapate lunch.Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Comrade we n msomi,hebu jaribu kujibu hoja kisomi na kama great thinker,Mungai sio mchaga angekuwa mchaga angeenda
Na hii itakupa ukuu wa wilaya?Kweli si waafrica tuu,watanzania ni useless people. Hii ndio on of best your can produce?Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Kama karudi CCM mpeni card ya CCM.Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Mkuu kumbe na ww uwezo wako wa kufikiri muda mwingine hautofautiani na yule Mbunge wa Mtera.Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Umerithishishwa tabia ya maajumgu. Tiba hamnaWiki ya pili Lema yuko mahabusu wala hajaenda kumjulia hali, yaani kampotezea.
Majungu ya kurithishwa ndio yanakutesa.Mungai sio mchaga angekuwa mchaga angeenda