Mbowe ni KUB,Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Kwa hiyo Ulitaka Asiende Msibani?Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Mbowe aliuza CHADEMAMbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Hii ni thread ya kijinga sana. Siasa hazipo kila mahali. Mbowe kafanya jambo la kiungwana sana na nimpongeza kwa hili.Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.
Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.
Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.
Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Ukweri mtupu ambao wanassm wanauona kama mzahaKwa hiyo Ulitaka Asiende Msibani?
Ndiyo Mana ccm Inawanyima Mikopo ya Elimu Muwe Mambumbu Izidi Kuwatawala.