You made me feel like a "Big Headed Astronaut" Lol!j mushi huwa napenda majibu yako kiukweli huwa yanaonesha kutulia fulani hivi. Pia huwa yanaonesha si mtu wa visasi. Big up.
Tuendeleze kutembeza bakuli huku madini yetu yakichukuliwa mchana kweupe. That is not damn failure.
Topical, baada ya kusoma kile kitabu cha mwalimu "Uongozi wa Tanzania na Hatma yake" Nimepata mwanga ni kwanini baadhi ya wananchi wanamchukia mwalimu kiasi hiki.
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
Source: The Citizen
My take:
Maalim Seff na Karume walianza hivihivi.
JK hapendi migogoro ndio maana anakutana na viongozi wa upinzani ili Tanzania iwe mahala pema pa kuishi
Nafikiri mostly ni kuhusiana na Zanzibar na OIC...Kwanini wanamchukia? wewe unafikiri
Nafikiri mostly ni kuhusiana na Zanzibar na OIC...
Part ya hapa tulipo, hata Alhaji Mwinyi aliplay part kama uki stick kwenye hoja yangu ya OIC.Most of the people are victims of nyerere failures on economic and social policies,
Victims of unfair treatments, unjust, illegal and oppression of people mostly muslims,
Victimis of unyang'anyi wa mashamba, nyumba, na mali za watu (without pay)...mind you watu walihangaika sana kupata pesa zao..
Victimis of ubaguzi wa wazi kidini..and superiority of catholics above national interest; to least but few..
Part ya hapa tulipo, hata Alhaji Mwinyi aliplay part kama uki stick kwenye hoja yangu ya OIC.
Pale ndipo penye chimbuko la chuki hii.
Si kweli kwamba nationalisation iliwa target moslems.
Ndipo niliposema unatakiwa ukisome kile kitabu,Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliplay part kubwa sana, na kama angetaka OIC ibaki angeweza kufanya hivyo, alikuwa na washauri na pia nguvu kama Rais.ndipo mawazo yako yanavyofikiri, kwanini amekataa OIC? ana sababu yoyote zaidi ya udini ?
Ndipo niliposema unatakiwa ukisome kile kitabu,Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliplay part kubwa sana, na kama angetaka OIC ibaki angeweza kufanya hivyo, alikuwa na washauri na pia nguvu kama Rais.
Yeye mwenyewe alionekana kuipinga ile hoja, kasome kile kitabu nadhani kuna copy humu.
Siko hapa kukuaminisha kwamba Mwalimu ni tofauti na unavyoniambia, najuwa hilo haliwezekani, those was just ma two cents.Wewe ndio unaona hiyo ndio sababu pekee, lakini list ya sababu ni nyingi zikiwemo hizo nilizotaja..Hakuna anayekataa Mwinyi has his part of failures; si rais bana kwanini asiwepo kwenye lawama, lakini..
Tunachokataa ni watu fulani (nyerereism) kufikiria kwamba tunatakiwa turudi tukaangalie mawazo mfu (damn) ya nyerere..lol; huwezi kumtenganisha nyerere na deni la taifa tulilo nalo; huwezi kumtenganisha na udini (ukiwemo kukataa OIC na kuvunja Mahakama ya kadhi), huwezi kumtenganisha na unyang'anyi wa mali za watu binafsi bila malipo, huwezi kumtenganisha na unjust treatments, illegal and oppression of human being..damn
Kiongozi yeyote wa CHAADEMA si muhimu kuliko sisi wanachama wenyewe. Ndoa na CCM katu and never!!!!
Hivi, Nyerere alipokutana na Idi Amin pale Mwanza, na kwenye kikao cha OAU ilikuwa na maana kuwa Nyerere amelegeza msimamo wake kuhusu Idi Amin? Sote tunajua kichapo alichokipata Amin baadaye. Namwaminia sana Freeman. Tuwe na subira na tuwe great thinkers for once.
Chadema namwamini Dr. Slaa na Lema baasi
mmoja hanunuliki, mwingine ni msema ukweli
Mbowe hajafanya siri. Amesema atazungumzia jambo hilo baada ya msiba kumalizika. Kuweni na subira.Je Nyerere kwani yeye alifanya siri? Pia tunajua viongozi wetu ni watu wanaodanganyika kirahisi kwakuweka maslahi mbele mfano ni yale ya Zitto na madini, sasa je mbowe atajitetea je kwakufanya siri? Au ndo mchakato wa ccm C?
Tanzania mbele, cdm na ccm ni baadaye, mbona kuna mijitu humu haifikirii mbele kbs kwani kuna ubaya gani Mkuu wa kaya kukutana na mbowe? tutoleeni ujinga wenu humu ..