Mbowe in informal meeting with JK

j mushi huwa napenda majibu yako kiukweli huwa yanaonesha kutulia fulani hivi. Pia huwa yanaonesha si mtu wa visasi. Big up.
You made me feel like a "Big Headed Astronaut" Lol!

Thanks for the complement tho, and feel at home hapa JF Dada Jane.
 
Tuendeleze kutembeza bakuli huku madini yetu yakichukuliwa mchana kweupe. That is not damn failure.

Kama ukiangalia kipindi cha 1961-1985; ndio kipindi ambacho taifa hili limeomba, limepokea pesa kutoka scandanivian, UK, China, USSR, Cuba, etc. kupita wakati wote katika historia hilo deni likawa kubwa kiasi kwamba hatuwezi tena kukopa popote duniani??? na kipindi hicho alikuwepo li-babu haambiliki.. st. nyerere; damn failure achana na mawazo ya kale ndugu, muuliza mkapa atakusaidia..maana najua unasongwa na zile chuki zenu..muulize mkapa mwenzenu..

Sasa hatutembezi bakuli tunaita capital for investments na wanakuja, wewe unaweza kuwa sehemu ya uchumi huo..
 
Topical, baada ya kusoma kile kitabu cha mwalimu "Uongozi wa Tanzania na Hatma yake" Nimepata mwanga ni kwanini baadhi ya wananchi wanamchukia mwalimu kiasi hiki.
 
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter

Source: The Citizen

My take:

Maalim Seff na Karume walianza hivihivi.

JK hapendi migogoro ndio maana anakutana na viongozi wa upinzani ili Tanzania iwe mahala pema pa kuishi

Kakwambia nani?
 
Nafikiri mostly ni kuhusiana na Zanzibar na OIC...

Most of the people are victims of nyerere failures on economic and social policies,

Victims of unfair treatments, unjust, illegal and oppression of people mostly muslims,

Victimis of unyang'anyi wa mashamba, nyumba, na mali za watu (without pay)...mind you watu walihangaika sana kupata pesa zao..

Victimis of ubaguzi wa wazi kidini..and superiority of catholics above national interest; to least but few..
 
Part ya hapa tulipo, hata Alhaji Mwinyi aliplay part kama uki stick kwenye hoja yangu ya OIC.

Pale ndipo penye chimbuko la chuki hii.

Si kweli kwamba nationalisation iliwa target moslems.
 
ndipo mawazo yako yanavyofikiri, kwanini amekataa OIC? ana sababu yoyote zaidi ya udini ?
 
Ndipo niliposema unatakiwa ukisome kile kitabu,Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliplay part kubwa sana, na kama angetaka OIC ibaki angeweza kufanya hivyo, alikuwa na washauri na pia nguvu kama Rais.

Yeye mwenyewe alionekana kuipinga ile hoja, kasome kile kitabu nadhani kuna copy humu.
 
Wewe ndio unaona hiyo ndio sababu pekee, lakini list ya sababu ni nyingi zikiwemo hizo nilizotaja..Hakuna anayekataa Mwinyi has his part of failures; si rais bana kwanini asiwepo kwenye lawama, lakini..

Tunachokataa ni watu fulani (nyerereism) kufikiria kwamba tunatakiwa turudi tukaangalie mawazo mfu (damn) ya nyerere..lol; huwezi kumtenganisha nyerere na deni la taifa tulilo nalo; huwezi kumtenganisha na udini (ukiwemo kukataa OIC na kuvunja Mahakama ya kadhi), huwezi kumtenganisha na unyang'anyi wa mali za watu binafsi bila malipo, huwezi kumtenganisha na unjust treatments, illegal and oppression of human being..damn
 
Tanzania mbele, cdm na ccm ni baadaye, mbona kuna mijitu humu haifikirii mbele kbs kwani kuna ubaya gani Mkuu wa kaya kukutana na mbowe? tutoleeni ujinga wenu humu ..
 
Siko hapa kukuaminisha kwamba Mwalimu ni tofauti na unavyoniambia, najuwa hilo haliwezekani, those was just ma two cents.

BTW i wonder where Tumain at!? lol
 
Kiongozi yeyote wa CHAADEMA si muhimu kuliko sisi wanachama wenyewe. Ndoa na CCM katu and never!!!!

Hili siyo jambo la kufumbia macho hata kidogo kwa wana cdm ni kukomaa na huyu jamaa mpaka kieleweke. Either yeye aondoke au ndoa na ccm isiwepo
 
Hivi, Nyerere alipokutana na Idi Amin pale Mwanza, na kwenye kikao cha OAU ilikuwa na maana kuwa Nyerere amelegeza msimamo wake kuhusu Idi Amin? Sote tunajua kichapo alichokipata Amin baadaye. Namwaminia sana Freeman. Tuwe na subira na tuwe great thinkers for once.

Je Nyerere kwani yeye alifanya siri? Pia tunajua viongozi wetu ni watu wanaodanganyika kirahisi kwakuweka maslahi mbele mfano ni yale ya Zitto na madini, sasa je mbowe atajitetea je kwakufanya siri? Au ndo mchakato wa ccm C?
 
Mbowe hajafanya siri. Amesema atazungumzia jambo hilo baada ya msiba kumalizika. Kuweni na subira.
 
Tanzania mbele, cdm na ccm ni baadaye, mbona kuna mijitu humu haifikirii mbele kbs kwani kuna ubaya gani Mkuu wa kaya kukutana na mbowe? tutoleeni ujinga wenu humu ..

Unasema hivi kwa sababu na wewe ni miongoni mwa Manaibu Mawaziri watarajiwa kutoka CDM!

Back
Top Bottom