Mbowe hutoa wapi pesa kuikopesha CHADEMA?

Kho kho kho DJ mbowe ndiye DJ mwenye mafanikio bongo land kuliko akina ma j na joo.
 
Uchawi wa kurithi utakuua mwenyewe. Mmebomoa Bilicanas, mkabomoa bustani bado hampati usingizi?
 
Mjadala uliopo na mpana ni mafisadi kuomba msamaha ndani ya siku 7
 
Kuna kamanda hubweka sana humu kwa kumuita Mbowe bilionea subiri aje
Kujua kama Mbowe ni bilionea ni rahisi tu , angalia vitega uchumi vyake vya ulaya , US na Asia , acheni kubweteka wakati ni rahisi tu kuujua utajiri wa Mbowe

Labda kwa faida yako na vilaza wengine kama wewe ni hivi , Baba yake Mbowe ndiye aliyempa Kapuku Nyerere nauli ya kwenda UNO Kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru mnaoutumia leo kuteka watu , someni historia ya nchi vizuri .
 
Nimekudharau sana leo kumwita Baba wa Taifa majina ya udhalilishaji
Kumbe unautoto hivyo
Sometimes ili mbumbumbu waelewe inapaswa kutumia lugha kali ya kufundishia , nadhani sasa utakuwa umeelewa kwanini Freeman ni bilionea
 
Reactions: Qwy
Anawakopesha deni hewa anawapiga,chief accountant ni mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…