Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #61
kamanda tunataka kujua taratibu na kanuni zipi anatumia?Kwani kinachokuuma ni nini?
kamanda tunataka kujua taratibu na kanuni zipi anatumia?Kwani kinachokuuma ni nini?
Picha gani hiyo, mwishowe "mtoe mimba za watu humu"Hujawahi kuwa na hoja weweView attachment 1218831
P
Picha gani hiyo, mwishowe "mtoe mimba za watu humu"
mxweeeu, hahahahahahahahahaWacha itoke maana hata mwenye mimba hajulikani
Jikite kwenye hojaJamani Jamani.. 😀 😀 😀 Wakudadavua ni mshambuliaji namba 9 wetu ..huyu tumemsajili kuishambulia CHADEMA tuu hadi ifwee... Ila anayo ID nyingine hiyo inausajili mwingine tuu..
Povu la nini?Acha povu kamanda
Nenda na uonane na wahusika utapewa utaratibu unaoutaka.kamanda tunataka kujua taratibu na kanuni zipi anatumia?
Kamanda hapa ni JF...wamo humu humuNenda na uonane na wahusika utapewa utaratibu unaoutaka.
Hicho unachokitaka hapa hutakipata hata hapo lumumba wanayao ambayo hamuyaweki hapa kwa sababu sio pahala pake.Kamanda hapa ni JF...wamo humu humu
Huyo ni pacha wa Lizaboni ?Hujawahi kuwa na hoja weweView attachment 1218831
Huyo ni pacha wa Lizaboni ?
Nje ya mada
Jikite kwenye hoja kamanda
Hicho unachokitaka hapa hutakipata hata hapo lumumba wanayao ambayo hamuyaweki hapa kwa sababu sio pahala pake.
Swali, kinachokuuma nini?
Huna ajenda nyengine kila siku Chadema+Mbowe?
Hoja yako wa hicho unachokitaka unashidacho kama wewe nani ndani ya Chadema?
Hujajibu swali mkuuUmeonaeeeeee?
Hujajibu swali mkuu
Swali muhimu ambalo lingejibu swali LA mleta mada lingekuwa: Mwenyekiti wa CCM hayo maburungutu ya fedha anayozunguka nayo akigawa kwa wapiga kura huwa anapata wapi?Ndugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
📌📌📌🔨🔨Ungeonesha kwanza vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amelipwa kwa sababu alikikopesha Chama pesa..pia vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amejikipesha chama pesa. Hizo vielelezo viendane na transaction ya pesa kutoka Account ya Mbowe kwenda Account ya chama na kinyume chake pia.
Ukishaonesha vielelezo nadhani wadau watakua tayari kuanza kuijadili mada iliopo mezani.