Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #41
Kamanda jibu hoja....je riba ni kiasi gani?hivi kwanini masikini wengi ni waongo ?
Kamanda jibu hoja....je riba ni kiasi gani?hivi kwanini masikini wengi ni waongo ?
"bilionea" ....mjasiriasiasaSometimes ili mbumbumbu waelewe inapaswa kutumia lugha kali ya kufundishia , nadhani sasa utakuwa umeelewa kwanini Freeman ni bilionea
Acha povu,Jenga hojaUnabwabwaja wewe kwa kuwa huna akili zaidi ya kuwa mbwabwaji
Kamanda jibu hoja....je riba ni asilimia ngapi?Nenda Takukuru wape vielelezo waanzishe uchunguzi,
Kila siku ukija humu Mbowe na Chadema,
Hata CCM wanakushangaa hicho ndiyo Kipaumbele chako huko CCM.
Subirini kukatwa nyie wahamiaji haramu ,wenye Chama wanawaangalia tu jinsi mnavyokurupuka.
Acha povu,Jenga hoja
Acha povu,Jenga hoja
Kwan hujui CDM ni saccoss
Kho kho kho DJ mbowe ndiye DJ mwenye mafanikio bongo land kuliko akina ma j na joo.
Anawakopesha deni hewa anawapiga,chief accountant ni mkewe
Punguza jazba jenga hoja.Saccoss ya kwenu koromitdje
Kamanda acha husda..jikite kwenye hojaKuna chokoraa katoa mvuke huko UN
Ayo unayotaka wewe yalimponza Chacha wangwe, alijikuta yupo kwenye mgogoro mkubwa na DJ. RIP Chacha.Ungeonesha kwanza vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amelipwa kwa sababu alikikopesha Chama pesa..pia vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amejikipesha chama pesa. Hizo vielelezo viendane na transaction ya pesa kutoka Account ya Mbowe kwenda Account ya chama na kinyume chake pia.
Ukishaonesha vielelezo nadhani wadau watakua tayari kuanza kuijadili mada iliopo mezani.
Angalizo kuntuAyo unayotaka wewe yalimponza Chacha wangwe, alijikuta yupo kwenye mgogoro mkubwa na DJ. RIP Chacha.
Acha povu kamandaKwani kinachokuuma ni nini?