cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,413
Kho kho kho DJ mbowe ndiye DJ mwenye mafanikio bongo land kuliko akina ma j na joo.
Ooh, good.That is opportunity hakuna tatizo kwani zilikuwa ela za serikali?
Jibu jepesi sana hilo.Mnashindwa nini kumpeleka mahakamani?
SenselessNi ukweli unaokutesa
Pole sana maana hata jamii yako imekuchoka kwa tabia zako mbovuKamanda imekupenya
Uchawi wa kurithi utakuua mwenyewe. Mmebomoa Bilicanas, mkabomoa bustani bado hampati usingizi?Ndugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
Nje ya mada kamandaKwani wale wahindi waliokuwa wanatoa ela ccm walikuwa wanatoa kwa utaratibu upi?
Kwenye magroup ya Bavicha hii mada wanaijadili kwa kina sababu imewafungua wewe endelea kubwabwajaMnashindwa nini kumpeleka mahakamani?
Iambatanishe hiyo ripoti hapa; siyo kila mtu humu alikiona.Kamanda ripoti zinaonesha kuwa gharama za matangazo kipindi cha uchaguzi alikikopesha chama.Upo wapi?
Unabwabwaja wewe kwa kuwa huna akili zaidi ya kuwa mbwabwajiKwenye magroup ya Bavicha hii mada wanaijadili kwa kina sababu imewafungua wewe endelea kubwabwaja
Iambatanishe hiyo ripoti hapa; siyo kila mtu humu alikiona.
Nje ya mada kamanda
Ooh, good.
Mjadala uliopo na mpana ni mafisadi kuomba msamaha ndani ya siku 7Ndugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
Kujua kama Mbowe ni bilionea ni rahisi tu , angalia vitega uchumi vyake vya ulaya , US na Asia , acheni kubweteka wakati ni rahisi tu kuujua utajiri wa MboweKuna kamanda hubweka sana humu kwa kumuita Mbowe bilionea subiri aje
, Baba yake Mbowe ndiye aliyempa Kapuku Nyerere nauli ya kwenda UNO Kudai uhuru wa Tanganyika
Sometimes ili mbumbumbu waelewe inapaswa kutumia lugha kali ya kufundishia , nadhani sasa utakuwa umeelewa kwanini Freeman ni bilioneaNimekudharau sana leo kumwita Baba wa Taifa majina ya udhalilishaji
Kumbe unautoto hivyo
Anawakopesha deni hewa anawapiga,chief accountant ni mkeweNdugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
hivi kwanini masikini wengi ni waongo ?Anawakopesha deni hewa anawapiga,chief accountant ni mkewe
Kamanda kila kitu kipo wazi....ndio maana wenzio wamechafukwaIambatanishe hiyo ripoti hapa; siyo kila mtu humu alikiona.