Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Hoja kwa hoja kamanda
Ndugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
Nakazia hapa.Ungeonesha kwanza vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amelipwa kwa sababu alikikopesha Chama pesa..pia vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amejikipesha chama pesa. Hizo vielelezo viendane na transaction ya pesa kutoka Account ya Mbowe kwenda Account ya chama na kinyume chake pia.
Ukishaonesha vielelezo nadhani wadau watakua tayari kuanza kuijadili mada iliopo mezani.
You always utter nonsenseNdugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.
Aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu Zitto Kabwe amewahi kusema baadhi ya hiyo mikopo ni wizi. Kwa mfano Mkono na Rostam walimpa pesa Mbowe ya kukisaidia chama yeye akadai ni pesa yake amekikopesha chama. Hilo haliwezi kuwa jambo la kawaida.Chadema na mbowe kipi kilianza?
Alafu mbona hilo ni jambo la kawaida sana? Kitu gani kinakushangaza hapo
Kamanda ripoti zinaonesha kuwa gharama za matangazo kipindi cha uchaguzi alikikopesha chama.Upo wapi?Ungeonesha kwanza vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amelipwa kwa sababu alikikopesha Chama pesa..pia vielelezo zinazoonesha kua Mbowe amejikipesha chama pesa. Hizo vielelezo viendane na transaction ya pesa kutoka Account ya Mbowe kwenda Account ya chama na kinyume chake pia.
Ukishaonesha vielelezo nadhani wadau watakua tayari kuanza kuijadili mada iliopo mezani.
Kwa utaratibu upi?Chadema na mbowe kipi kilianza?
Alafu mbona hilo ni jambo la kawaida sana? Kitu gani kinakushangaza hapo
Ni ukweli unaokutesaYou always utter nonsense
Kamanda imekupenyaHujawahi kuwa na hoja weweView attachment 1218831
Kwa utaratibu upi?
Aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu Zitto Kabwe amewahi kusema baadhi ya hiyo mikopo ni wizi. Kwa mfano Mkono na Rostam walimpa pesa Mbowe ya kukisaidia chama yeye akadai ni pesa yake amekikopesha chama. Hilo haliwezi kuwa jambo la kawaida.

Hujawahi kuwa na hoja weweKamanda jenga hoja bila povu