Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0
Hili nalo neno make watu wengine hawaonishida kumsaidia mwizi kuiba.

Intarahamwe.Timu buku 7Mbowe toka zamani ni hovyo sana. Hata chadema ni hovyo zaidi.
Ntakulipua unadani mimi naogopa ban kichwa chako tikiti maji.Bora wakuchape tena ban palipumzika sasa umerudi kazi kwelii!!!
Kweli kabisa mkuu umenena kweli tupu tena iliyokali.mbowe ni dj sio mwanasiasa, alibaka fani
Mwe! wamemfanya nini watu wa kwa macheni?
Bavicha kazini.Aah ka Intarahamwe kadogo naona full kutema Shudu.
Nashukuru mkuu ni gari gani hilo basi au roli?
Mbowe mimi nambeza kama ninavymbeza lema na Lipumba huwezi kuwa mwenyekiti halafu ukaa na mawazo ya hovyo kiasi hicho halafu huku unaongoza kundi la watu.
Jiulize kwanza kwanini chadema kinakufa ndipo utapata majiu mazuri kuwa mbowe ni tatizo kubwa kwenye hii jamii.
Bavicha kazini.