Elections 2010 Mbowe hajui wajibu wake?

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake
 
CHADEMA wako makini wanajua wanachokifanya! Kila mtu akisimama itakuwa ni kituko....! toa pumba zako
 
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake

Pole pole ndio mwendo. Bwana wadogo wapo.Tulisa bolliiiii!!!!
 
Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.
 
Unazidi kuonyesha jamii kuwa wewe ni bogus!
 
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake

Du! mbona unamkandia mapema namna hii? kumbuka si lazima mkuu wa upinzani yeye awe wa kwanza ku notice makosa yanapotokea Bungeni, yeye kazi yake ni kuwakilisha hoja muhimu za wabunge wa upinzani na maamuzi mengine bungeni.
 
Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.

Tulissaaa bolliiiii!!!
 
Aliesema kuwa kiongozi wa upinzani na kujua yote ni nani!!!??? mnatutafutia Ban za lazima nyie
 
Mambo taratibu, hao ni vijana wake subiri mwenyewe aanze, utarudi JF kutuambia mengine
 
mbowe ni mzoefu sana bungeni, so kijana piga kimyaa subiri bunge la historia uone anna makinda anavyogalagazwa bungeni.
 
Ivi hii web ukiifungua mwanzoni inaandika "Great Thinkers.." alaf inakuwaje wasiofikiri wanafika jamvini? Kama uyu anasema kuwa kiongoz wa kambi ya upinzani ndo wa kwanza kukemea kila kitu inamaanisha kuwa wengne hawaruhusiwi kuongea mpaka aseme yeye tu? Pekueni muone kazi za KUB msiropoke kumkandia mbowe,sawa?
 
He/she might be a GREAT SINKER! Amekosea si jamvi lake labda, msamehe bure....
 
Msimkaripie jamani, ongeeni nae kwa utulivu nakumshauri vizuri aende wapi panapomfaa.

Ndugu yangu kwa upendo wa dhati kabisa naomba uhamie mtaa wa pili kule kwenye ile kitu inayobaki kama maji ukitoa nyama au kama vipi nenda Jahazi la Kibonde
 
Nilidhani kwa ID yako TECHNOLOGY ungetoa vitu vya technology kweli kweli lakini naanza kukuona kama u MANYAKI "MANIAC" fulani unayekurupuka kama njiwa aliyekurupushwa kiotani. Mbowe is a chairman, a leader must be a good listener and not a good speaker.

Mbowe ana vijana wake machachari na kama wanaona kitu kwa ushapu walioonyesha that is very good.
Lazima wadogo wawe explorers wa mambo kabla ya mkubwa wao kusimama na kudadisi jambo.. ndio maana utaona hata watoto wadogo wenye akili timamu wanakuwa na maswali mengi sana ambayo hata ww mkubwa huwezi kufikiria kuyauliza.

Tuliza boli acha kupanic muda bado utamwona huyo mama anavyolowa jasho hadi ...:bowl:
 
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake
Kaanzishe Bunge la Familia yako(Wewe,Mkeo na Watoto) afu wewe ndo uwe Msemaji Mkuu.Mbunge yoyote wa Chadema yupo huru kutoa hoja yake na Mchango wake c kama hicho chama chenu ruhusa hadi itoke kwa Bogus Makamba.Wale hawapo pale kuuza sura ka unavyotaka wewe,hatutaki m2 wakumanipulate madaraka yoyote mwenye hoja anafunguka tu.
 
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake

Taratibu kaka, yaani utafikiri ulikuwa unamuwinda ili akikosea kidogo tu useme jambo, mbona hicho kitu kidogo sana! akiongea sana mtasema anawanyima nafasi wabunge wake, akikaa kimya mnasema hafanyi kazi yake....mmh! wanadamu kweli hamna jema! Mbowe kula ganzi mwanangu, taratibu ni mwendo....ado ado halafu haters watatuliza tu vipumulio vyao!
 
Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.

Bungeni siyo bar we "k"
 
Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.

tuliza mpira wewe kwani uliambiwa kazi ya kiongozi wa upinzani bungeni ni kukosoa pale kunapokuwa na makosa?Mbowe unamjua wewe? waache waongee randomly pale nafasi inapopatikana
 
Back
Top Bottom