Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake