Mbowe hafai kuwa KUB

Wewe ni kilaza mkubwa sana mtumwa wa lumumba, vumilia mkamuliwe maana magamba mkimuona mbowe mnatetemeka
 
VIJANA WA C.C.M ACHENI KUWA VICHWA MAJI!
-Asipogombea mbowe unataka baba yako agombee?
-Kaeni mjenge chama chenu cha kinyonyaji mambo ya UKAWA waachieni ukawa.

Nakuunga mkono 100%
 
Tuna imani na Mbowe, na tulimwona bunge lililopita alivyoitendea haki iyo nafasi ya KUB. Ningefurahi nikimwona tena wakati huu
 
Acheni watu waendeshe vyama vyao. Kama unataka asiwe Mbowe, kagombee umshinde. Bure kabisa

Japo umepata vijilike.....ulichoandika ni pumba tu. Ni lini mbowe anakubali kushindanishwa kwenye nafasi ya uenyekiti? Tumeona waliojaribu kushindana nae wameishia kupewa majina mbali mbali na nyie mashabiki wake. Mbowe will be chairman for life.....hana tofauti na Kagame, Museveni, Mugabe au Kabila.
 

Najua una machungu sana baada ya zzk kupewa red card
 

Chuki za kina kalumanzira
 
Nani unafikiri anafaa? mbowe ni given KUB...Hamna wa kuzuia hilo
 
Naona bado unaweweseka pamoja na kuweka makapi yenu kutoka cdm bado mmeangukia pua😆😆😆😆

Pamoja na kuchukua kapi/makapi toka ccm bado mmeanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…