Mkuu huwezi kuziba huo mshipa unaopitisha mawazo machafu ya udini kichwani kwako hata kwa dakika moja na ukajadili mambo kwa uzalendo na upendo wa Nchi yako?Kila la kheri kwakuwa kimeshaimarika kanisani sasa ni wakati wa kuwahadaa waislamu. Nyakageni kazi yako imeonekana na sasa Mbowe anaokuongezea nguvu ili chama kiinaendelea.
Leo malipo ni buku saba au utapata nyongeza?
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukupa msaada wowote, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.
Mtu mzima hovyo,huna maana yeyote hata thamani yako ni sawa nna panya wakawaida majumban.
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukumpa msaada wowe, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.
Ujiulize wewe ulieleta uzi hapa utapigwa viloba vingapi leo?
Mkuu huwezi kuziba huo mshipa unaopitisha mawazo machafu ya udini kichwani kwako hata kwa dakika moja na ukajadili mambo kwa uzalendo na upendo wa Nchi yako?
Mkuu hizi busara zako mbona zinaonekana hapa tu ikiguswa chadema? Sijayasema mimi ni makamanda wenu hao.
Unavyochangia ujinga hapa jamvini unajionyesha ulivyo na akili finyu