Angepeleka huyo Rais angefanya kitu gani tofauti??Nimekuwa ninamfuatilia sana kamanda wa anga mbowe,kila mara anapozungumzia hofu za chadema kuhujumiwa,lazima aseme ushahidi tunao,ila akitakiwa kuuweka wazi anaufyata,si bora asingekuwa anaweka wazi,mfano kule Soweto,alisema ushahidi wanao kuwa ccm ndio walihujumu kampen zao za mwisho akatakiwa kuupeleka kwa raisi kwa kuwa hakuwa na iman na jeshi la polisi,hakupeleka,ila jana pia amekaririwa akisema hawatarudi bungeni maana ccm wanataka kuwahujumu,ndio maana wanawahadaa warudi bungeni,akamalizia kuwa "Na ushahidi tunao",hata huu utakuwa ni mdomoni tu!haya bana,lini home?
gongo ni pombe mbaya!Wewe ni kilaza
Punguza gongoWewe ni kilaza
No research,no right to speak.Unajua kuna watu wengine hata uletaji mada yake utajua ni kanjanja,unaweza ukapoteza muda wako kubishana naye na energy.Kubishana na watu wa buku 7 ni kazi sana,wengi unakuta wamelishwa maneno.
Huyu Mhe. Mbowe anawalaghai watanzania ili apate umaarufu lakini anasahau kuwa watanzania baada ya kung'amua ulaghai wake nao wanamlaghai, japo Yeye hajui, kuwa watamuunga mkono kufikia malengo yake. Akumbuke mwindad mwindwa, walinena wahenga.Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh. Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakabali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria.
Leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya CCm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo.
My take: Kwa kuwa huyu mh. Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.