MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Zama hizi sio za kuwadanganya watanzania,shudu zenu hizi zimeshawakera wananchi,imefika mahali hata kuvaa kofia na t-shirt za ccm Mtaani mnaogopa wananchi kuwashambulia basi mnaleta shudu.
Hii Nchi haiendeshwi kihuni kama mnavyotaka kutuaminisha, Kila mtu ana uhuru wa kuvaa nguo za rangi anayoitaka, na kutembea popote pale bila kubugudhiwa! Vyombo vya usalama viko kwa ajili ya wahuni wanaovunja sheria za nchi!