Mbowe azidisha ulaghai

Mbowe azidisha ulaghai

Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu

Mkuu unajisumbua bure kuwajibu watu wasiofikiriaga, yaleyale kama ya kwenye Katiba mpya sasa hivi wanapogeuza kibao eti UKAWA hawataki kuendelea na BMK, ilhali wanajua condition za kuendelea walizopewa.
 
CCM ndo yenye serikali,kama mtu kasema uongo ni vyema akachukuliwa hatua,kwa nini mlalamike wakati mmeshika kwenye mpini!.

Mkuu inavyoonyesha wewe swala la mgawanyo wa madaraka ya mihimili ya dola limekukalia mbali. Yeye amesema ana ushahidi mpaka wa maswala ya jinai, unataka ayapeleke ccm kweli! Kwa akili zako ccm ndio mkurugenzi wa upelelezi jinai kweli? Hebu kuwa serious kidogo kwenye mambo ya msingi mkuu.
 
Binafsi huwa sina muda wa kumsikiliza Mbowe na vibaraka wake. Huyu mtu ni mlaghai na muongo kupindukia, na bahati mbaya kuna wapuuzi wasiojua kutumia akili zao kufikiria wanamuona kama Mungu mtu asiyejua kudanganya.
 
Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu

Unamaanisha ni tume ya kimahakama pekee yenye uwezo wa kuiona hiyo video? Sisi wananchi tumeugua upofu hadi tushindwe kuiona? Hebu tumia akili zako mkuu, usipende kutumia akili za kushikiwa.
 
Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu

Mbowe ni msanii tu, alijua anaomba kitu ambacho hakina tija na kisingekubaliwa. We tokea lini kila ushahidi upokelewe na tume? Vyombo vya upelelezi kazi yake nini sasa! Si angepeleka huo ushahidi huko! Hana jipya tupa kureee!
 
Mkuu unajisumbua bure kuwajibu watu wasiofikiriaga, yaleyale kama ya kwenye Katiba mpya sasa hivi wanapogeuza kibao eti UKAWA hawataki kuendelea na BMK, ilhali wanajua condition za kuendelea walizopewa.

Hakuna Rais anayeweza kupewa conditions na genge la wahuni lenye id isiyotambulika kisheria.
 
Binafsi huwa sina muda wa kumsikiliza Mbowe na vibaraka wake. Huyu mtu ni mlaghai na muongo kupindukia, na bahati mbaya kuna wapuuzi wasiojua kutumia akili zao kufikiria wanamuona kama Mungu mtu asiyejua kudanganya.

Mkuu, ni sashihi kabisa na hilo ni tatizo la akili ndogo kuongoza akili nyingi.
 
[Ushahidi hutolewa sehemu husika na kama munavyofikiria. Mbona tume huru ya kimahakama haijaundwa kuchunguza, ingefanyika hivyo na ushahidi ungetolewa mahakamni. Mbowe ni njembe na mtu makini sana.QUOTE=Ghosryder;10096847]Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakbali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria, leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya ccm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo. My take, kwa kuwa huyu mh Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.[/QUOTE]
 
[Tena pale Igunga. Ccm choka mbayaaaaaaa. QUOTE=hopetumaini;10096958]Vipi mwigulu na ushaidi wake wa ugaidi???[/QUOTE]
 
Zama hizi sio za kuwadanganya watanzania,shudu zenu hizi zimeshawakera wananchi,imefika mahali hata kuvaa kofia na t-shirt za ccm Mtaani mnaogopa wananchi kuwashambulia basi mnaleta shudu.
 
[Ushahidi hutolewa sehemu husika na kama munavyofikiria. Mbona tume huru ya kimahakama haijaundwa kuchunguza, ingefanyika hivyo na ushahidi ungetolewa mahakamni. Mbowe ni njembe na mtu makini sana.QUOTE=Ghosryder;10096847]Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakbali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria, leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya ccm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo. My take, kwa kuwa huyu mh Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.
[/QUOTE]

Mkuu, Mbowe hana ishu zaidi ya ulaghai, kama alikuwa anaona anacheleweshwa kupokelewa ushahidi wake, mbona hajaupeleka hata The Heague! Mbowe ni msanii tu.
 
Zama hizi sio za kuwadanganya watanzania,shudu zenu hizi zimeshawakera wananchi,imefika mahali hata kuvaa kofia na t-shirt za ccm Mtaani mnaogopa wananchi kuwashambulia basi mnaleta shudu.

Huo sasa ni umbea wa kike! Watu wanavaa tshirts za ccm na hawaogopi ujunga wowote wa wamiliki wa saccos yenu hiyo.
 
Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh. Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakabali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria.

Leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya CCm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo.

My take: Kwa kuwa huyu mh. Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.
Kwa hiyo hiki kinyesi ndicho kinakupa mlo wa siku?
 
Mbowe ni mfanyabiashara wa siasa, sio mtu wa maana hata chembe! Kauli zake sio za kutilia maanani hata!
 
Back
Top Bottom