William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Wewe unafikiri Malecela bado anahitajika kwa lipi ambalo hajalimalizia kwa miaka zaidi ya 30 kama hajafanikiwa kama unavyosema Mandela alivyofanikisha na kung'atuka unafikiri apewe miaka mingapi zaidi 20? huo unaitwa usultani au uroho wa kisiasa.
- Usultani na uroho wa kisiasa ni kumlazimisha Zitto kurudisha fomu bila uchaguzi, Malecela has all the right under our laws kugombea hata akwia na miaka 200, hebu wakuu mtumie akili tuelimisheni nani ni mbunge anayefaa ambaye ameleta maendeleo makubwa sana jimboni mwake as opposed na Malecela, aliyepeleka shule na zahanati katika kila kata zake 51, uroho wa power huwa unasababishwa mtu kufukuzwa nchi na kuishia kuwa mkibizi nchi za wengine nakudai ni yako,
- Malecela amewasaidia sana wananchi Mtera, ndio watamchagua tena bila tatizo na havunji sheria yoyote, Freeman angejiepusha na agenda za mafisadi, upinzani wana nafasi sana katika uchaguzi huu unaokuja lakini huyu akiendelea na hizi siasa za agenda za mafisadi basi mnajimaliza wenyewe pole pole mtakuja hapa hapa kulia mmeibiwa kura kumbe mnajimaliza wenyewe, kama Freee yuko serious aondoe wazee Chadema kwanza, na kama hapendi usultani basi amuachie Zitto kijana mdogo kuliko yeye, otherwise zinakwua kelele za mlango CCM wataendeela kulala tu!
Es!