Mbowe awashukia wabunge wa CCM

Wewe unafikiri Malecela bado anahitajika kwa lipi ambalo hajalimalizia kwa miaka zaidi ya 30 kama hajafanikiwa kama unavyosema Mandela alivyofanikisha na kung'atuka unafikiri apewe miaka mingapi zaidi 20? huo unaitwa usultani au uroho wa kisiasa.

- Usultani na uroho wa kisiasa ni kumlazimisha Zitto kurudisha fomu bila uchaguzi, Malecela has all the right under our laws kugombea hata akwia na miaka 200, hebu wakuu mtumie akili tuelimisheni nani ni mbunge anayefaa ambaye ameleta maendeleo makubwa sana jimboni mwake as opposed na Malecela, aliyepeleka shule na zahanati katika kila kata zake 51, uroho wa power huwa unasababishwa mtu kufukuzwa nchi na kuishia kuwa mkibizi nchi za wengine nakudai ni yako,

- Malecela amewasaidia sana wananchi Mtera, ndio watamchagua tena bila tatizo na havunji sheria yoyote, Freeman angejiepusha na agenda za mafisadi, upinzani wana nafasi sana katika uchaguzi huu unaokuja lakini huyu akiendelea na hizi siasa za agenda za mafisadi basi mnajimaliza wenyewe pole pole mtakuja hapa hapa kulia mmeibiwa kura kumbe mnajimaliza wenyewe, kama Freee yuko serious aondoe wazee Chadema kwanza, na kama hapendi usultani basi amuachie Zitto kijana mdogo kuliko yeye, otherwise zinakwua kelele za mlango CCM wataendeela kulala
tu!

Es!
 
tunachoweza kusema tu kutokana na hii thread ni kwamba, Watanzania walikuwa sahihi kumkataa Mrema kwenye uchaguzi wa 1995. vivyo hivyo walikuwa sahihi tena kutompa Mbowe urais 2000.

Kama hamridhiki na JK, wakulaumiwa ni CC,NEC na mkutano mkuu wa CCM maana walikuwa na alternatives. Ila Watanzania kwenye 2000 GE hawakuwa na alternative zaidi ya kumpa JK,

Kama ambavyo Mbowe anajionyesha hapa kwamba asingeitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tolea 77 kama lilivyofanyiwa marekebisho mbalimbali.

Mungu Ibariki Tanzania!!!
 
Naomba nikujibu namba 1 na 4 japo kwa kifupi

1.Ndiyo ni ubaguzi...Kwani ni wapi katiba inasema wazee wasigombee?

4.Kwa nini Malecela anabaguliwa na Mbowe?,kwani yeye katiba ya nchi haimruhusu kuchaguliwa kuwa kiongozi?

Lakini si anayenda kushindana naye tu na si kumdhuru kwa silaha. Kuna ukweli kisayansi kua mzee hua msahaulifu na akili inapungua.
 
- Wananchi wa Mtera ndio wanaotakia kuamua sio Freeman, kama uzee ni tatizo awatoe kwanza Ndesamburo na Slaaa, halafu amuachie Zitto kijana mdogo kuliko yeye, otherwise inajisema wazi kwamba ni kwa nini CCM itatawala milele, ninajaribu ku-imagine kwamba Freeman ndiye rais huyu atawaua wzee wote akianzia na wa huko kwenye chama chake cha Chadema, mkuu kama uko serious na enough basi ungeanza kulia na wazee huko Chadema, tupe mfano kwanza otherwise ni kelele za mlango,

- Malecela amemshinda Freeman Busanda na Biharamulo leo eti atamuweza nyumbani kwake Mtera ndoto za mchana hizo na haziwezi kutusaidia taifa hata siku moja ni waste of our time yaani wananchi!

Es!
Naona umeishiwa hoja sasa unatetea tu kwa sababu unatakiwa kufanya hivyo mambo ya Mbowe kuua wazee wote iko low sana
 
-
- Malecela amewasaidia sana wananchi Mtera, ndio watamchagua tena bila tatizo na havunji sheria yoyote
Es!
FMES ungekuwa unatuambia kafanya nini ungeonekana una hoja ya msingi kusema tu kawasaidia haitoshi, na hapa hakuna mtu kasema Malechela akigombea anavunja sheria ana uhuru hata awe na na miaka 120 lakini utumishi uendane na uwezo na busara na hekima
 
Kimsingi Luteni tuko pamoja katika utendaji kuwa hamna la maana yule mzee amelifanya jimboni mwake but atolewe kwa hoja na sio kwa tabia au wasifu wa mtu. Kwani kwa njia hiyo yeyote atakaye shindana naye atashindwa kwani siasa ni mchezo wa kupakana matope tu.
Kama unakiri hakuna lolote amefanya sasa what is the use of mtu kama huyu kusema tu lazima atashinda kwa hoja ipi ya maendeleo? kuna kushinda kwa aina nyingi, wizi ni aina moja wapo, wananchi wanakuchagua kwa mazoea ni aina nyingine, kuchagua kum favour mtu kumonea aibu ni mzee wetu nk wakati mwingine wanachagua bora liende ukiongeza na umbumbumbu wetu na ukakuta na mbunge/kiongozi naye hatumii busara bichwa litavimba akifikiri anapendwa
 
Jamani pamoja na kuzipenda familia zetu sana inapokuja swala la taifa tulipe kipaumbele. kwa kweli huyu mzee itakuwa ni faida kwa taifa kama atapumzika hata kama hii itawanufaisha mafisadi wenzake( kivyao vyao). Hata ivyo sidhani mafisadi wanhaja ya kutaka huyu mzee atoke kwani naona sio tishiyo lolote kwao kama anavyotaka mjumbe mmoja hapa tuelewe. hebu niambieni huyu mzee kuwa mbunge kutawafanya nini mafisadi jamani tuwe wakweli. Sana sana ndiyo watmtuma kuwapalilia njia
 
- Irrelevant to the ishu, CCM kama Chadema ni chama hakitengenezwi na Malecela, siamini in siasa za umri ni simply nonsesne, kama Freeman yukos erious na umri basi Zitto ni kijana mdogo kuliko yeye sasa angemuachia badala ya kuwatumia kina Mtei kumlazimisha kurudisha fomu, hizi siasa za kinafiki nafiki ndio zinalimaliza hili taifa, Baba wa taifa aling'atuka huku akiendelea kutawala wka pembeni ni mfano batili, CCM hailei mtu,

- G55 ilishakufa baada ya muasisi wake kutangulia kwenye haki vipi ulikuwa hujui hilo na washirki wote wa lile kundi walipewa nafasi, lakini muasisi wao tu alipoondoka wakatimulwia wote, Bwa! ha! siasa za umri haziwezi kuwapa Chadema uongozi wa taifa ubnless wameondoa vizee kuole kwao kwanza, unatupaje jiwe kwenye kioo na wewe uko kwenye glasi?

- Maneno ya umri na uongozi ni pure nonsense na wanachi ni vyema tukawapuuza hao wenye hizo siasa, ni simply bancrupt politics na ni ubaguzi, sasa huyu Freeman akishika urais si ataua wazee wote kina Ndesamburo na Slaaa, no wonder ameamua kugombea ubunge badala ya urais!

Es!
Wasisi wa G55 bado wapo na wanainfluence ndani ya CCM akiwemo Malecela.

Usifikiri kwa vile tunataka viongozi vijana basi kila kijana ana uwezo wa kuongonza na usidhani kila mzee basi hana uwezo wala busara za uongozi, hapa tunajadili uwezo na busara za Mzee Malecela usijumuishe wazee wote kama kina Dr Slaa nk kama unataka comprison ya uwezo na busara kati ya Malecela na Slaa tutajadili.
 
- Ha! ha! ha! kwa hiyo unasema Freeman, akishika nchi Chadema mtaanzisha sheria ya kumzuia Malecela, na kuwaruhusu wazee wengine kama Ndesamburo na Slaa, ha! ha! ha! eti kwa sababu uzee wao unatofautiana ha! ha! ha! haya ndiyo mawazo ya chama mbadala kinachotakiwa kuwang'oa CCM kwenye power?

- Haya mkuu nimekukubali wewe na Freeman, kwamba mko juuu sana kihoja za kulikomboa taifa letu, na I am out! maana this is waste of time! kujadili hoja za kwamba uzee wa Malecela ni tofauti na uzee wa Ndesa na Slaaa! ha!ha! ha! ha!

Es!
 
tunachoweza kusema tu kutokana na hii thread ni kwamba, Watanzania walikuwa sahihi kumkataa Mrema kwenye uchaguzi wa 1995. vivyo hivyo walikuwa sahihi tena kutompa Mbowe urais 2000.

Kama hamridhiki na JK, wakulaumiwa ni CC,NEC na mkutano mkuu wa CCM maana walikuwa na alternatives. Ila Watanzania kwenye 2000 GE hawakuwa na alternative zaidi ya kumpa JK,

Kama ambavyo Mbowe anajionyesha hapa kwamba asingeitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tolea 77 kama lilivyofanyiwa marekebisho mbalimbali.

Mungu Ibariki Tanzania!!!

- Mkuu Kasheshe ubarikiwe sana bro!

Respect.

FMEs!
 
Hapo unateleza,JK aligombea 2005
 
-Nimesharudia katiba yetu ndiyo tatizo

-Mimi naona kosa analofanya Mbowe ni kupambana au kufanya harakati zake sasa zionekane anapambana na watu badala ya kupambana na Mfumo

-CHADEMA tujikite katika harakati za kitaasisi zaidi,hayo ndiyo yatakayoweza ku-reflect image ya mabadiliko ya kweli.Hatuwezi kuleta mabadiliko kwa kupambana na Mtu mmoja mmoja.So napinga moja kwa moja mapambano ya aina hii,nisichukuliwe kama Msaliti wa CHADEMA but the way forward should be aiming high.It's too low and costfully tukianza kuleta mabadiliko kwa kutaka kumbadilisha mtu mmoja mmoja hadi tupate mabadiliko tunayoyatafuta
[Mkuu nakubaliana na wewe na ndio Maana katika uchaguzi wa 2010, CHADEMA iliweka kipaumbele katika mabadiliko ya mfumo wa utawala, rejea pia katika hoja ya Serikali ya Majimbo.
 
[
[Mkuu nakubaliana na wewe na ndio Maana katika uchaguzi wa 2010, CHADEMA iliweka kipaumbele katika mabadiliko ya mfumo wa utawala, rejea pia katika hoja ya Serikali ya Majimbo.

Sasa basi tuonyeshe dhamira yetu kwa vitendo na tuelekeze raslimali zetu huko,tusiwachanganye wananchi watuelewe ndivyo sivyo
 
Nawahurumia Wagogo wa Malecela.Wamekuwa coned na huyu bwana,lakini hawana la kufanya.
Tumkumbuke bwana Kuwayawaya,alivyomfanya huyu Mzee Malecela.

Malecela ni kama MSEKWA.hawa watu ni career politicians lakini majimbo yao bado ni poor hadi leo.
MSEKWA aliachia uspeaker,lakini hawezi kuaacha CCM maana ulaji ndio uko huko.Msekwa juzi aligawa kadi za CCM London,kwa hiyo ulaji unaendelea.Sijui per diem alilipwa na CCM au serikali ,who knows.

I guess Malecela ,akiacha ubunge,naye CCM itampa tu ulaji ,may kugawa kadi ITALy au USA kwa watoto wake.
 
- Ha! ha! ha! kwa hiyo unasema Freeman, akishika nchi Chadema mtaanzisha sheria ya kumzuia Malecela, na kuwaruhusu wazee wengine kama Ndesamburo na Slaa, ha! ha! ha! eti kwa sababu uzee wao unatofautiana ha! ha! ha! haya ndiyo mawazo ya chama mbadala kinachotakiwa kuwang'oa CCM kwenye power?
Es!
FMES hata sijui unachojadili unachanganya changanya maneno unaonekana unamawazo kama ya wazee wa type ya Malecela ya dharau kwa wengine na kucheka cheka ha ha haa.......bila sababu za msingi nimeanza kugundua hakuna kitu ndani badala ya kuangalia National interest wewe unaangalia Family interest hakitakusaidia zaidi ya kukupofusha
 
- Ha! Bwa! ha! Mkuu Luteni na wewe unaunga mkono hoja za kuwaondoa wazee kwenye jamii eti kwa sababu umri umekwenda na kwamba toka tunazaliwa walikuwepo, unasema haya ni maneno ya kutoka kwa a Presidential Material? Bwa! ha! ha! ha!

- Si hata na wewe unaona kwamba this is the lowest taifa can go, yaani haya maneno yamesemwa na somebody ambaye Tanzania tunategemea awe our alternative katika kuwaondoa CCM, unasema haya maneno yamesemwa na Rais mtarajiwa? Kwamba katika agenda yake ya kuliongoza hili taifa na kutuletea mabadiliko hana nafasi na wazeee, Bwa! ha! ha! I mean this is hillarious ndugu yangu ungana na mimi kukataa ubaguzi huu wa ajabu na wale wote wenye haya mawazo very mgando tusiwape nafasi kwenye uongozi wa taifa, sasa ninaelewa ni kwa nini kijana mdogo sana Zitto alikabwa koo alipotaka kumpokonya Mkulu usultani huko Chadema, Bwa! ha! ha! ha!

- Ndugu yangu Luteni lionneeni huruma jamani hili taifa, hivi kweli unaweza kuiletea maendeleo familia yako binafsi kwa kuwafukuza wazee ndani ya familia yako kwa vile wamekuwepo toka uzaliwe?, hivi si Mwenyekiti anatakiwa kua na washauri maalum kabla ya kuzungumza kwenye public, hivi kweli unataka kuniambia kwamba kabla hajatoa hii hotuba alishauriana na wazee wa chama chake kama Ndesamburo na Slaa, au na wao anawaambia kwa njia za kisiasa kwamba wajiondoe mapema maana hana nafasi nao katika agenda yake ya mwaka 2010!

- Ndugu yangu Luteni oneni huruma kidogo, sasa hawa wananchi masikini ya Mungu watakimbilia wapi? CCM kumejaa mafisadi huku Chadema siasa za umri, hivi kweli wananchi waende wapi kupata msaaada? Bwa! ha! ha! ha! Luteeeeni bwana! ha! ha! baabu kubwa sana! hayo ya familia na mengine ni kawaida sana kwangu hakuna jipya nikiwa na mawaazo tofauti na yako basi inakuwa ni familia, Bwa! ha! ha! ha! sishangai maana huko upande wenu najua kua Demokrasia ni kiduchu sana, kama huamini muuulize Zitto!

Later Ndugu yangu sana Luteni, I mean afande Bwa! ha! ha!

Es!
 
Nawahurumia Wagogo wa Malecela.Wamekuwa coned na huyu bwana,lakini hawana la kufanya.
Tumkumbuke bwana Kuwayawaya,alivyomfanya huyu Mzee Malecela.

Malecela ni kama MSEKWA.hawa watu ni career politicians lakini majimbo yao bado ni poor hadi leo.
MSEKWA aliachia uspeaker,lakini hawezi kuaacha CCM maana ulaji ndio uko huko.Msekwa juzi aligawa kadi za CCM London,kwa hiyo ulaji unaendelea.Sijui per diem alilipwa na CCM au serikali ,who knows.

I guess Malecela ,akiacha ubunge,naye CCM itampa tu ulaji ,may kugawa kadi ITALy au USA kwa watoto wake.

- Huruma sana, yaani haieleweki nani ni nani, yaani mwenye akili na asiyekua nazo huku Sheikh Yahaya anasema yake, kule viongozi wa dini wanasema yao, kule Freeman anasema yake, na sisi wananchi this is the best we can contribute kwa taifa letu, Bwa! ha! ha! ha! yaani hata kinachosemwa huwezi elewa ili mradi tu kulichangia taifa bila hata kufikiri kidogo kabla ya kusema, basi bwana tuwaachie tu CCM watawake milele, I mean huwezi kusema kuna uwezekano wa kuiong'oa CCM na this kind of thinking! Bwa! ha! ha! huruma sana kwa hili taifa!

FMEs!
 
- Ha! Bwa! ha! Mkuu Luteni na wewe unaunga mkono hoja za kuwaondoa wazee kwenye jamii eti kwa sababu umri umekwenda na kwamba toka tunazaliwa walikuwepo, unasema haya ni maneno ya kutoka kwa a Presidential Material? Bwa! ha! ha! ha!

- Si hata na wewe unaona kwamba this is the lowest taifa can go, yaani haya maneno yamesemwa na somebody ambaye Tanzania tunategemea awe our alternative katika kuwaondoa CCM, unasema haya maneno yamesemwa na Rais mtarajiwa? Kwamba katika agenda yake ya kuliongoza hili taifa na kutuletea mabadiliko hana nafasi na wazeee, Bwa! ha! ha! I mean this is hillarious ndugu yangu ungana na mimi kukataa ubaguzi huu wa ajabu na wale wote wenye haya mawazo very mgando tusiwape nafasi kwenye uongozi wa taifa, sasa ninaelewa ni kwa nini kijana mdogo sana Zitto alikabwa koo alipotaka kumpokonya Mkulu usultani huko Chadema, Bwa! ha! ha! ha!

- Ndugu yangu Luteni lionneeni huruma jamani hili taifa, hivi kweli unaweza kuiletea maendeleo familia yako binafsi kwa kuwafukuza wazee ndani ya familia yako kwa vile wamekuwepo toka uzaliwe?, hivi si Mwenyekiti anatakiwa kua na washauri maalum kabla ya kuzungumza kwenye public, hivi kweli unataka kuniambia kwamba kabla hajatoa hii hotuba alishauriana na wazee wa chama chake kama Ndesamburo na Slaa, au na wao anawaambia kwa njia za kisiasa kwamba wajiondoe mapema maana hana nafasi nao katika agenda yake ya mwaka 2010!

- Ndugu yangu Luteni oneni huruma kidogo, sasa hawa wananchi masikini ya Mungu watakimbilia wapi? CCM kumejaa mafisadi huku Chadema siasa za umri, hivi kweli wananchi waende wapi kupata msaaada? Bwa! ha! ha! ha! Luteeeeni bwana! ha! ha! baabu kubwa sana! hayo ya familia na mengine ni kawaida sana kwangu hakuna jipya nikiwa na mawaazo tofauti na yako basi inakuwa ni familia, Bwa! ha! ha! ha! sishangai maana huko upande wenu najua kua Demokrasia ni kiduchu sana, kama huamini muuulize Zitto!

Later Ndugu yangu sana Luteni, I mean afande Bwa! ha! ha!

Es!
Tatizo FMES huwa unaongea maneno meeengi yakuchusha yasiyo na substantial ndani yake kuandika full page si kwamba una piont sana jaribu kuwa concise tutakuelewa

ushauri wa bure kama kweli unampenda Mzee Malecela "kamwambie aachane na siasa wakati bado watu wanampenda kama si kumchekea siasa za Tanzania zinabadilika hazina muamana enzi za kubebana zinaelekea ukingoni kuna siku ataondoka kwa aibu" mwisho wa kujinukuru.
 
Tatizo FMES huwa unaongea maneno meeengi yakuchusha yasiyo na substantial ndani yake kuandika full page si kwamba una piont sana jaribu kuwa concise tutakuelewa

ushauri wa bure kama kweli unampenda Mzee Malecela "kamwambie aachane na siasa wakati bado watu wanampenda kama si kumchekea siasa za Tanzania zinabadilika hazina muamana enzi za kubebana zinaelekea ukingoni kuna siku ataondoka kwa aibu" mwisho wa kujinukuru.[/QUOTE

Hapo umenena mimi nilidhani niko peke yangu ninayefikiri hivyo. Pia tabia yake ya kuripuka na kuanza ku attack kila anapoona kuna kitu kiko kinyume na matakwa yake inafanya watu wawe wanamtekenya makusudi si wanajua kuwa ataripuka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom