Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Lazima tuwakomalie wataiba mwishowe hadi makaburi ya ndugu zetu
Ni dola 1,000 kwa mwaka, sio kwa mwezi.Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.
Nawasilisha
sisi watanzania hatujali hasa unapokuta kitu hakikugusi moja kwa moja....kama watanzania tungekuwa tunajali basi CCM isingekuwa madarakani leo hii...Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.
Nawasilisha
Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.
Nawasilisha
Tunaenzi amani yetu, ukiuliza utaambiwa unataka kumwaga damu na mchochezi.
Tufanyeje sasa?
kuna siku nilimsikia Mbowe akisema maneno hayo nilijua kakosea sasa leo nasikia kwa mara ya pili ndiyo naamini..hii ni hatari dola 1000 kwa mwaka, watanzania hatuana serikali tuna takatakaNi dola 1,000 kwa mwaka, sio kwa mwezi.
<br />Bado tumelala. Hakika tunahitaji kutembelewa na opesheni twanga kotekote.
<br />Ni dola 1,000 kwa mwaka, sio kwa mwezi.
<br />Dollar 1000 kwa mwezi? Hivi akili watz tunazo kweli?