Mbowe awashangaa watanzania... Uwanja wa Ndege Kilimanjaro unakodishwa kwa Dola 1,000 kwa MWAKA!

kumbe huu ugonjwa wa kushangaa unaambukiza??
pinda alishangaa
JK akashangaa
sasa Mbowe anashangaa
basi na mimi nashangaa
jitahidi kuwa muelewa!! amekwambia dunia inaishangaa Tanzania siyo yeye Mbowe anashangaa kama hao magamba wako.

Jamii ya great thinkers ni kauli na majadiliano ya kujenga nchi na si kubomoa. JF ni kujuzana na majadiliano kwa lengo la kujenga nchi yetu. Hili si jukumu la CCM wala Chadema. Ni letu sote.....tumnyoshee kidole mhusika pekee na si vyama....maana chama unachodhani kipo sahihi hicho ndo kitakuweka matatani.

Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.
Nawasilisha

CCM wanafurahi sana wanapoona watanzania wengi ni wajinga.
CCM wakigundua kuna watu wametambua haki zao na kuzihoji wanasema unaleta vurugu.

Ujinga na zidumu fikra za mwenyekiti zimetuadhiri kama wasomi, wengine 2po makazini, wengine wameshatokwa na mvi badala ya kukaa sote chini na kuanza kuijadili how us $1000 kwa mwezi ila tunaleta ushabiki.

Cha umuhimu kimeshatokea je serikali yetu imeshaonesha wazi haiwezi kuchukua hatua so kilichobaki na kila mmoja wetu kuelimisha jamii na turudi na kauli moja Waondoke pia wale wote waliousika wapewe adhabu kali.

Mbowe,Slaa na Lema utafika wakati hatutawasikiliza tena kwani mnatucheleweshea Ukombozi ama mmehongwa nini mbona mnarudi nyuma?

CCM wanafurahi sana wanapoona watanzania wengi ni wajinga.

CCM wakigundua kuna watu wametambua haki zao na kuzihoji wanasema unaleta vurugu.

Kuna mbunge wa ccm leo ameongea point kwa kusema kama aliyetujengea uwanja wa mpira wa taifa amenyongwa iweje hawa waujumu uchumi Tanzania wanaangaliwa tu pia amesema anawaunga mkono chadema kwa kuandamana kwani watanzania wamechoka unyonyaji.

Mbaya zaidi kupitia kiwanja hicho cha Kia serikali ilikopa fedha kwa ajili ya kukiendesha ila pesa zilizolipwa zimeenda makampuni hewa ambayo hayajulikani yanatokea nchi gani mfano. Kampuni ya Mackdonald.

Waja JF tumshukuru Mungu kwa Elimu hii ya serikali ya ccm kutupa elimu tusiojua kuhoji ila kuwa watulivu na kudumisha amani.

Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.

Nawasilisha

Penye red, ni dola 1000 kwa mwaka.

Penye red, ni dola 1000 kwa mwaka.

Ndugu yangu nikisema kwa mwaka naogopa sababu ibadilishe kwenda ela za Kitanzania ni takribani sh milioni moja na laki 6 ivi.

Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.

Nawasilisha

Penye red, ni dola 1000 kwa mwaka.

Mkuu unaulizia jeshi lipi? usikute ni hili lililochakachuliwa!!

Ah nimesoma tena mambo ya shimbo imebidi niende kucheza na mwanangu then nilale. Kweli mkuu sio jesh hili. "this is the country of no body"

Mkuu huo unga wa ndele ukoje? au ndiyo bangi mkuu?

Mkuu habari ya unga wa ndele ipo katika kitabu kimoja cha lugha katika kidato cha 5/6..ni kwamba kulikua na serikali iliyokuwa inaongozwa na bibi lizee mmoja...sasa huyo bibi alikua ni mtawala mbovu anaefanya madudu, ili kuficha madudu yake ndio akawa anawalisha unga wa ndele na kuwafanya watu wake kama mazezeta ili wasiweze kushtukia madudu yake...ni story niliyosimuliwa na mke wangu aliesomea lugha (ingawa story nzima imenitoka)

Teh teh teh teh! Sio kwamba ni mazuri ndo maana nacheka ila nimeshindwa hata kukasirika kutokana na hawa jamaa kutufanya sisi vikaragosi!

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom