Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Ukiona mwizi anaiba karibu na kituo cha polisi na kukimbilia polisi ujue amemkumbuka mume wake jela, Mbowe kuna kitu anaki miss ndiyo maana anafanya maksudi.
 
Leo nimethibitisha mwenyewe hapa kibaha jinsi zitto asivyokubalika kwa watu wa kawaida kabisa katika eneo hili walau. Kila jina lake lilipokuwa likitajwa watu walikuwa wakizomea kuonyesha kumchoka kiumbe huyo

nakala ya post yako nampelekea HABIBU MCHANGE ambaye yuko MWANDIGA kikazi .
 
Mbowe Angekuwa amehudhuria shule, usingeandiaka maelezo yote haya! Ungebandika CV yake tu hapa! INGEJIELEZA!

Performance not equal to CV, Dr Kawambwa vipi CV inasemaje ndugu yangu? Angalia performance yake. Sasa hivi ana project ya kufundisha masomo yote ktk shule za misingi kwa kiingereza. Walimu wako wapi wa kufanya hiyo kazi?
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

Acha kujianika ujinga wako, tuliza kipago
 
nakala ya post yako nampelekea HABIBU MCHANGE ambaye yuko MWANDIGA kikazi .

Tena aione mapema ili aache kujidanganya. Atafute jimbo kasulu wala asirudi Kibaha hawamtaki tena. Sijahadithiwa nimejionea mwenyewe
 
Performance not equal to CV, Dr Kawambwa vipi CV inasemaje ndugu yangu? Angalia performance yake. Sasa hivi ana project ya kufundisha masomo yote ktk shule za misingi kwa kiingereza. Walimu wako wapi wa kufanya hiyo kazi?

Kuna mwingine anajiita prof maghembe anaongoza wizara ya maji pasipokuwa na maji
 
Chadema hawataki kuheshimu sheria za nchi siku wakichukuwa dola sijui itakuaje, tatizo kubwa la Mbowe ni elimu.

Magamba sasa mnaanza kuamini kuwa kuna siku CHADEMA itachukua dola.
 
Yamalizeni kwanza ya kwenu hapo Lumumba, kuna vita Malecela& Makonda vs Mgeja, Nape vs Msindai, Nape vs Guninita, hafu mkiyamaliza ndiyo uangaze ya majiraji zenu.
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
 
Uoga ni umasikini na ndio kikwazo cha maendeleo, Mbowe kafanya jambo la kishujaa sana, kumbuka kabeba ajenda za msingi za taifa, kwanini umshushe, kwani kaleta fujo, mbona mwenyekiti wa ccm taifa huwa anapitiliza muda mara nyingi tu na polisi hawamshushi, tuache ujinga watanzani tuamke, safi sana kamanda Mbowe, elimisha wananchi tulikomboe taifa.
 
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.

kwani mnaamini ZZK ataweza leta propaganda za kuiua chadema? ama mnamjaza kichwa tu alafu mmucheke baadae? mpeni hizo chopa azunguke nchi nzima
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

Kupekechwa kubaya sana....
 
Jamani Mbowe ni Janga

Yaani kama roho inakutoka vile, hujui hata umepost nini. CCM ndo wamekutuma hivyo? Mmeliwa ndugu, sasa ndo CDM inazidi kuwaacha na gari mtumbi wenu (CCM) mbovu na mtazama wote. na Mkizama tutakuwa tumeangamiza kizazi hatari na haribifu, kisicho na huruma na wenaoteseka, mlizokusanya mkaspend kuzimu na wenzenu wa huko. Mbowe anawachamganya na kila siku mnamuota anavyowafyeka makombora ya hoja. Ni nani CCM anaweza kusimama na mbowe katika kutoa hoja zaidi ya matusi? Hakuna professor, wala DR mwenye wezo wa mbowe na kama yupo ajitokeze waombe Mdahalo pamoja muone jembe letu linavyofyeka.
 
Nipo mkutano wa mbowe hapa kibaha now. Ni saa 12:25 jioni mboww bado anahutubia. Polisi wamekuna kumshusha amegoma hadi saa 12 unusu anasema ndio atashuka na yuko tayari kukamatwa akishuka.
Mgombea wa ubunge ccm 2010 alieshika nafasi ya tatu kura za maoni Dr Rose Japhet kajiunga xhadema na kukabidhiwa kadi na mbowe
Nitawapa taarifa zaidi hapa kinachoendelwa
Arawa nasikia m23 itahamishia mikutano kasino.huko hakuna utawala.hakutawaliki
 
HivI wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo endelevu katika kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe una TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPO KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!

Co yeye uwezi kuwa kwenye keybord 24 seven kwani hana kazi aendi chooni, apati hata chakula huyo ndio Simiyo yaani anaweka vijana ndio wanaomwandikia ndio maana hata siku moja ujaona akiandika point. Yeye kwa vile analipwa pesa na maccm kawaajiri vijana wanatumia id yake
 
Hakuna jambo baya katika maisha ya binadamu kama kukosa uelewa. Uduni wa fikira ndio unaofanya baadhi ya watu kuamini toka mioyoni mwao kuwa mbowe ni mkombozi na kiongozi wao.

Hakuna binadamu mwenye akili timamu awezaye kushindana na ukweli, kinyume chake atakuwa na matatizo ya akili.

Mbowe hajawahi na hata siku moja hawezi kuwa mkombozi katika wa mtanzania. Mbowe ni mzee wa fursa. Mahali popote penye fursa mbowe atapambana vikali mno ili aweze kupiga pesa.

Mengi yanaweza kusemwa sana, lakini ukweli ni kwamba mbowe hana tofauti yoyote na mafisadi wengine wa magamba.

Katika Tanzania hii bado hatujapata viongozi wenye nia na lengo moja la kumkomboa mtanzania masikini. Viongozi tulionao wakati huu ni wachumia tumbo tu. Wawe viongozi wa cdm au maccm hakuna tofauti.

Vijana zindukeni, acheni kutumika kwa kuwa mitaji ya wanasiasa wanafiki wanaosahao yote wanayoahidi mara tu wangiapo madarakani.

Huna lolote gamba wewe,Mbowe anajitoa sana katika harakati za ukombozi wa nchi hii. Mnaopinga mna agenda zenu za siri. Na hakika mtashindwa,mtalegea then mtaliwa 0713..
 
Wababe wamekutana na mbabe zaid yao. Wakafyata.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom