Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Zitto kaishia ktk vijiwe palipo na makuli,warangi, wana kigoma wenye dhiki ..hao ndio wana hadithi versions nyingi sana za kumtukuza Zitto,za sijui dhulma anayofanyiwa,za sijui katikisa wazee wa kichaga,sijui nini nanini......

Kama ana akili timamu Zitto basi ajifikirie upya kuhusu hatma yake kisiasa na asidanganywe na wapambe wake
 
Police wenyewe Hotuba inawaingia, wana watoto wanasoma KAYUMBA uwezo wa shule za academy hawana, wana ndugu zao wamelazwa mahospitalini ya serikali MADAWA HAKUNA, milo miwili kwa baadhi ya watumishi hawa wa dola ni kitendawili - wengi wao wanaishi kama SUNGURA mjanja - maisha ya kudandia-ndandia kupitisha siku.

Nani asiyeutaka ukombozi wa taifa letu ili aishi kwa neema!!
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.


Hoja za kiroba hizo
 

Attachments

  • 1520660_398472136965337_2145011611_a.jpg
    1520660_398472136965337_2145011611_a.jpg
    5.6 KB · Views: 127
Back
Top Bottom