Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Nipo mkutano wa mbowe hapa kibaha now. Ni saa 12:25 jioni mboww bado anahutubia. Polisi wamekuna kumshusha amegoma hadi saa 12 unusu anasema ndio atashuka na yuko tayari kukamatwa akishuka.
Mgombea wa ubunge ccm 2010 alieshika nafasi ya tatu kura za maoni Dr Rose Japhet kajiunga xhadema na kukabidhiwa kadi na mbowe
Nitawapa taarifa zaidi hapa kinachoendelwa

Mgombea u raisi asiyefata sheria! Ndio tuwape nchi hawa wahuni! Think twice!
 
...

....M4C - 0PD Mwanza dakika chache zilizopita....!!!!!


attachment.php
 
Simiyu yetu utakufa kwa pressure. Muda unaotumia kubeza CDM humu tafuta kitu cha kukuingizia kipato, sio Buku 7 ambazo hazina kodi wala hukatwi nssf, pspf etc
 
Mkutano umefungwa now kuna amani sana hadi sasa
Chiku zote amani huvurugwa na mapolisi na wala chio vyama vya wapinzani ujue. Polichi wakiwa wachitarabu amani tele tu. Wakitaka kutumiwa na ccm bachi! Leo labda Nape kachahau kuwapa vijichenti.
 
Hiv wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo enedelefu katka kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe un TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPA KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!

Kaka nakubaliana nawe kabisa. Huyu Simiyu Yetu ana tatizo la kufikiri na ni miongoni mwa watu wanochangia kihovyo sana. hana hoja zaidi ya kucome up vijikejeli na hawezi kujenga hoja yoyote yenye mshiko. Kila wakati ukiona post yake, RITZ, Zemarcopolo, sumu, Taswira, Chris Lucos, CCM2015 na wengine. Wana hoja dhaifu na wanaanzisha dukukuku zao kuaminisha umma ilimradi wamepost jambo baya kwa Chadema au wanopinga ufisadi.Ndo vijana wa CCM imewalea na ndo wanajipambanua kujibu hoja nzito.
 
CHADEMA wangepata mwenyekiti aliyeenda shule wangeweza kufika mbali, Lakini na huyu kilaza watabaki kuwa wapinzani milele.
 
Star TV wametupa haki Mkutano wa DR. Slaa Mwanza. Viva Star TV, Viva ITV (Mbowe katembelea jimbo la Kikwete shule, kuna shule ina mwalimu mmoja tu na shule imepinda mbaya huku Mama Salma anapeleka Tablet kweke)
 
Chadema hawataki kuheshimu sheria za nchi siku wakichukuwa dola sijui itakuaje, tatizo kubwa la Mbowe ni elimu.
 
Tatizo la polis wa tanzania wanafanya kazi kwa mashinikizo badala ya kufuata sheria,kanuni na taratibu!
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

Tamko la mwenyekiti wa ccm shinyanga hujalisikia?
 
CHADEMA wangepata mwenyekiti aliyeenda shule wangeweza kufika mbali, Lakini na huyu kilaza watabaki kuwa wapinzani milele.
Tuko mbali kaka. Hivi unajua Uchumi wa Uingereza kipindi cha John Major ndo ulikuwa Juu kiliko kawaida na majo alikuwa sio msomi!!? Mbowe kaenda shule, na ana kipaji cha Uongozi. Kuwa taarifa ako A leader is 50% born na 50% anafanywa na watu (kupitia elimu/kujifunza) na vyote hivi mbowe anavyo kaka ndo maana kila siku CCM inazidi kufa kupitia nguli wa siasa na mtaalamu Mbowe na team nzima ya Mapambano. Chadema inafanikiwa kwa kuwa wanafanya siasa kisayansi na haya yote ni matunda ya upngozi wa mbowe. Ndo maana mnahanya sana na hamlali, mnajifilisi kuhonga honga wasaliti ili Chadema ife kumbe ndo mnachochea Mafanikio. Kwa nini hamuongelei CUF, NCCR, TADEA,UDP,CHAUMA, na vinginevyo? Acha Chadema ife kwa kuwa na mbowe haikuhusu, ongelea CCM yako inayoenda kaburini. Mmebaki mnawalagai wananchi kwa boda boda huku mkishinda kutatua kero za msingi. Boda boda zitaondoa Umasikini kama katibu wenu anavyowalaghai wanaMbeya? Wapeni mashamba walime na sio boda boda. Wakiwa na boda boda hizo feki za kichina watakula nini? CCM kweli mmeshikwa pabaya sasa.
 
Chadema hawataki kuheshimu sheria za nchi siku wakichukuwa dola sijui itakuaje, tatizo kubwa la Mbowe ni elimu.
Naona na ninyi magamba leo mmekuwa na maandamano ya chama chenu kilichokosa dira na kinakaribia kuzikwa kwa kuwa hata birth day yake mmesahau kuwa ni tarehe 5 mwezi wa pili, na kesho nasikia mna maandamano mengine kule mbeya. SASA mlibatiza chadema chama cha maandamano, ninyi mnafanya nini? Nyani haoni kundule!!
 
Back
Top Bottom