Tuko mbali kaka. Hivi unajua Uchumi wa Uingereza kipindi cha John Major ndo ulikuwa Juu kiliko kawaida na majo alikuwa sio msomi!!? Mbowe kaenda shule, na ana kipaji cha Uongozi. Kuwa taarifa ako A leader is 50% born na 50% anafanywa na watu (kupitia elimu/kujifunza) na vyote hivi mbowe anavyo kaka ndo maana kila siku CCM inazidi kufa kupitia nguli wa siasa na mtaalamu Mbowe na team nzima ya Mapambano. Chadema inafanikiwa kwa kuwa wanafanya siasa kisayansi na haya yote ni matunda ya upngozi wa mbowe. Ndo maana mnahanya sana na hamlali, mnajifilisi kuhonga honga wasaliti ili Chadema ife kumbe ndo mnachochea Mafanikio. Kwa nini hamuongelei CUF, NCCR, TADEA,UDP,CHAUMA, na vinginevyo? Acha Chadema ife kwa kuwa na mbowe haikuhusu, ongelea CCM yako inayoenda kaburini. Mmebaki mnawalagai wananchi kwa boda boda huku mkishinda kutatua kero za msingi. Boda boda zitaondoa Umasikini kama katibu wenu anavyowalaghai wanaMbeya? Wapeni mashamba walime na sio boda boda. Wakiwa na boda boda hizo feki za kichina watakula nini? CCM kweli mmeshikwa pabaya sasa.