Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Tangu kuanza kunywa gongo mmekuwa wa ajabu sana.....Gamba limedata !!!
Tangu kuanza kunywa gongo mmekuwa wa ajabu sana.....Gamba limedata !!!
Kwa akili ya Kumeza ya Zitto hawezi digest hili....Zitto hadi anakwenda kaburini hatakaa aelewe kwanini kil akaijitahidi ongeza degree bado akija kwa Mbowe anakuta km vile Mvinyo unavyozidi kuwa bora kwa Umri...Mbowe ni kiongozi bora,kuliko yeyote ktk vyama vya siasa tanzania.chini ya m/kiti mbowe chadema imefanikiwa sana,kutoka wabunge 11 mpaka 49.hongera mbowe.
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Jk huwezi kumlinganisha na mtu tapeli wa siasa kama huyu jamaa ni tapeli hata kwenye ndoa.kikwete alifika Magu saa 12na kuhutubia hadi saa 1, tia upumbafu wako hapa!
karibu Furahisha upate elimu ya uraia ujitambue!!! pamoja daimaaaaaaaaaaaaaaaa
Mzima kweli wewe ni viroba au gongo?Sikuwa hapa jukwaani kwa muda, bado una akili zako za matope!...ccm kila mtu ni mpiga ramli kuitabiria chadema,mmelogwa nie si bure
Haya yote yanafanyika chadema au hujui nani anafanya.hivi mambo ya mbowe ni zaidi ya ubakaji vitoo na uuzaji wa meno ya tembo na madawa ya kulevya??? Au ndo unatafuta cha kukupnguzia jazba? zero ccm,, ptuuuu.
Hukuwa jukwaani make ulikuwa kwenye gongo.Sikuwa hapa jukwaani kwa muda, bado una akili zako za matope!...ccm kila mtu ni mpiga ramli kuitabiria chadema,mmelogwa nie si bure
Ndiyo baba yako anakufundisha kuongea hivyo?genye zinakufanya mwehu..
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Tangu kuanza kunywa gongo mmekuwa wa ajabu sana.
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
....Gamba limedata !!!
Mbowe ameeleza kuwa hakuna sheria per se inayotaka mikutano kufungwa saa 12 kamili bali sheria ya uchaguzi ambayo haiko applicable hapa. Wakuu wanasaini kadi za uanachama hapa no