Ninachokiona, ndugai anatafuta machafuko ndani ya bunge. Kulikuwa hakuna ugumu wa kusikilizwa kwa hoja ya mbowe ilikhali kamuachia lukuvi mda mrefu sana.
Askari kama mmeshindwa kumtoa nje,mtu achie wenyewe(wabunge ccm).Nimeipenda hio kauli ya moja ya wabunge waliowasha maiki na kusema hayo.Naona hii itakuwa mfano na fundisho kwa wabunge woote wasio na adabu.
Utasikia wanasema upinzani ndio wakolofi, mbona kipindi cha Sita bunge lilikuwa na heshima. Saa hizi kimekuwa kama kijiwe cha wavuta bangi kwa kweli Ndungai si kiongozi kama wenzie wengi huko CCM walivyo.